Uchumba sio kufanya mapenzi

Jamani nina mchumba wangu mwanzo tunaanza nilikuwa nafanya nae mapenzi sana lakini sasa kabadilika hataki nifanye nae mapenzi anadai uchumba sio kufanya mapenzi na anasema nikimlazimisha ataniacha uchumba ndo basi.

Wadau mnishauri nifanyaje?



Muendee kwa MgaNga
 
...wewe na mchumba wako hamku-do?
Hata mimi ningefurahi kuwa na uchumba pure bila ngono, but the world is f**d up, if you don't giv it to her...atakipeleka kwa mwingine!!

sasa huyo hapo juu wa kwake hataki ku-do..ndio hapo achague sex or no sex..very simple
 
nini maana ya mpenzi sa? neno mpenzi limetoka kwenye neno penzi umoja,mapenzi wingi,likihusisha ufanyaji wa mapenzi na mambo mengine yanayoendana na hayo,anza kutafuta jina lingine la kumwita Mkuu,polee
 
Jamani nina mchumba wangu mwanzo tunaanza nilikuwa nafanya nae mapenzi sana lakini sasa kabadilika hataki nifanye nae mapenzi anadai uchumba sio kufanya mapenzi na anasema nikimlazimisha ataniacha uchumba ndo basi.

Wadau mnishauri nifanyaje?

Hataki uzinzi huyo ....... Nawewe huna budi ukubali
 
Daaa ansanteni kwa ushaur sema nimempenda damni but najitahidi kumpotezea but roho ngumu..wadau mwenye neno ra busala la kumwambia huyu gashi anisaidie afu sio siri anagegedwa na wengine inavoonekana na mm hataki na kama kugegeda tu Niko vizur ishu kwake ni kwamba kwao et wachumba hawagegedani na mwanzo ilikuwa bahati mbaya of course mm nataka niufate moyo wangu
 
Back
Top Bottom