as long as wako happy sioni tatizo
Wewe the boss
Wadhani hapo mwanamke anafurahi!!
Soon akipata mwingine uchumba basii!!
Mie siwez kabisa!! 12 good years!!
Khaaaaaaa
as long as wako happy sioni tatizo
Wewe the boss
Wadhani hapo mwanamke anafurahi!!
Soon akipata mwingine uchumba basii!!
Mie siwez kabisa!! 12 good years!!
Khaaaaaaa
Mnafanya hadi jubilee
Ahahaa sijui nisogee.hahaha! Jubilee? Au ndo ile ya sogea tuishi! Hiyo kali!
Mnafanya hadi jubilee
Uchumba tena wenye watotoUnamaanisha uchumba au urafiki unaofanana na uchumba?
Uchumba tena wenye watoto
Unamaanisha uchumba au urafiki unaofanana na uchumba?
Mmh!! labda kama mna maanisha uboifrendi na ugelifrendi...
Kwa uchumba,haufai kuwa wa muda mrefu hivyo.
Mahusiano ya kimapenzi yanategemea na malengo ya hao wapenzi,kama hamna mpango wa ndoa mnaweza kubaki kuwa wapenzi kwa muda wote ambao mnafurahia mahusiano yenu na kila mmoja anapata alichotegemea kutoka kwenye mahusiano hayo.
hahaha! Jubilee? Au ndo ile ya sogea tuishi! Hiyo kali!
Besides sio lazima mkidate muoane