Uchumba mwaka 1,2,3,4,5.........12.

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,820
11,520
Jamani mimi naomba kuuliza mtu kukaa na uchumba miaka mingi huwa mnatafuta nini? mwanamke unakubali kuliwa papuchi miaka yote hiyo bila ndoa matokeo yake mkisalitiana kukwepa aibu mnakimbilia kujiua mnatuchosha kuchimba makaburi yenu.
 
Wewe the boss
Wadhani hapo mwanamke anafurahi!!
Soon akipata mwingine uchumba basii!!
Mie siwez kabisa!! 12 good years!!
Khaaaaaaa

Wapo wanawake hawataki kuolewa
Oprah mfano...
we wapenda kuolewa naona...

kuna time ukifika hasa kama umejiendeleza tayari
ndoa inaogopesha...
 
uchumba mrefu sio mzuri kwa mtazamo wangu, kwa sababu hupelekea watu kuzoeana sana na mwisho wa siku mmojawapo hutaman ladha mpya katika ndoa.
 
Kwa uchumba,haufai kuwa wa muda mrefu hivyo.
Mahusiano ya kimapenzi yanategemea na malengo ya hao wapenzi,kama hamna mpango wa ndoa mnaweza kubaki kuwa wapenzi kwa muda wote ambao mnafurahia mahusiano yenu na kila mmoja anapata alichotegemea kutoka kwenye mahusiano hayo.
 
Mmh!! labda kama mna maanisha uboifrendi na ugelifrendi...

Yap umesema kwli so mnatoleana mahari then mnakaa miaka.kama hakuna mpango was ndoa basi tusigandane. Tuishi kimujini tutemane hukohuko
 
Kwa uchumba,haufai kuwa wa muda mrefu hivyo.
Mahusiano ya kimapenzi yanategemea na malengo ya hao wapenzi,kama hamna mpango wa ndoa mnaweza kubaki kuwa wapenzi kwa muda wote ambao mnafurahia mahusiano yenu na kila mmoja anapata alichotegemea kutoka kwenye mahusiano hayo.

Mi hata mwezi sikai
 
Back
Top Bottom