Uchovu wa safari na "swaum" vimewacost wachezaji wa Coastal Union

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,432
7,055
Jioni ya leo Simba imewachapa goli 8 - 1 vijana wa Coastal Union kutoka Tanga..

Vijana hao wanaounda kikosi imara, leo wameonekana kuwa legelege kutokana na kuzidiwa na ibada ya kufunga hivyo kukosa nguvu ya kukabiliana na Mabingwa hao watetezi wa TPL.

Inaeleweka kuwa timu ya Coastal Union imesheheni vijana wa kiislamu kwa 90% tofauti na Simba SC ambayo vijana wake karibu wote hawapo kwenye mfungo hivyo walikuwa fiti maradufu..

Mbaya zaidi wameingia Dar leo leo.
 
Meddie kagere pamoja na mfungo bado kapiga hat-trick
 
kwani mfungo umekataza wao kutimiza majukumu yao kwa usahihi?
 
Siamini kama mtu anaweza akawa amefunga halafu akacheza mpira tena muda wa jioni ambapo saumu imekolea. Ni hatari, wawezakufa ghafla.
 
Siamini kama mtu anaweza akawa amefunga halafu akacheza mpira tena muda wa jioni ambapo saumu imekolea. Ni hatari, wawezakufa ghafla.
 
Yanga hawanaga akili siku zote, mbona Stand utd waliwafunga kipindi cha kwaresma?
 
Jana mchana saa tisa gari yao ambayo wanatumia kwa safari nmeiona Tanga maeneo ya kwa minchi inafanyiwa service nikajiuliza hawa kesho wana mechi alafu mpaka muda huu hawajåsafiri, nikashangaa sana
 
Wachezaji wenyewe ndio hawa kina seduce me
2019-05-08%2021.57.33.jpeg
 
Kagere muislam
Manula muislam
Mohammed Hussein muislam
Ndemla muislam
Rashid Juma muislam
Mohammed Ibrahim muislam


Kwahiyo Hawa tu huko kufunga hakukuwaathiri?
 
Back
Top Bottom