• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Uchovu wa safari na "swaum" vimewacost wachezaji wa Coastal Union

Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Messages
3,037
Points
2,000
Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2015
3,037 2,000
Jioni ya leo Simba imewachapa goli 8 - 1 vijana wa Coastal Union kutoka Tanga..

Vijana hao wanaounda kikosi imara, leo wameonekana kuwa legelege kutokana na kuzidiwa na ibada ya kufunga hivyo kukosa nguvu ya kukabiliana na Mabingwa hao watetezi wa TPL.

Inaeleweka kuwa timu ya Coastal Union imesheheni vijana wa kiislamu kwa 90% tofauti na Simba SC ambayo vijana wake karibu wote hawapo kwenye mfungo hivyo walikuwa fiti maradufu..

Mbaya zaidi wameingia Dar leo leo.
 
Mc Tilly Chizenga

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Messages
4,424
Points
2,000
Mc Tilly Chizenga

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2012
4,424 2,000
Walikuwa Bagamoyo Jana,ndio Maana Kocha Mgunda kasema tumevuna tulichopanda,labda Kocha alitaka wasifunge,viongozi wakalazimisha wafunge
 
Y

Yodoki II

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
4,797
Points
2,000
Y

Yodoki II

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
4,797 2,000
Wachezaji wa Simba hawafungi au?
 
Barn

Barn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2017
Messages
2,040
Points
2,000
Barn

Barn

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2017
2,040 2,000
Meddie kagere pamoja na mfungo bado kapiga hat-trick
 
Kertel

Kertel

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Messages
3,719
Points
2,000
Kertel

Kertel

JF-Expert Member
Joined May 11, 2012
3,719 2,000
kwani mfungo umekataza wao kutimiza majukumu yao kwa usahihi?
 
M

Maikoel

Senior Member
Joined
Mar 9, 2019
Messages
119
Points
225
M

Maikoel

Senior Member
Joined Mar 9, 2019
119 225
Siamini kama mtu anaweza akawa amefunga halafu akacheza mpira tena muda wa jioni ambapo saumu imekolea. Ni hatari, wawezakufa ghafla.
 
M

Maikoel

Senior Member
Joined
Mar 9, 2019
Messages
119
Points
225
M

Maikoel

Senior Member
Joined Mar 9, 2019
119 225
Siamini kama mtu anaweza akawa amefunga halafu akacheza mpira tena muda wa jioni ambapo saumu imekolea. Ni hatari, wawezakufa ghafla.
 
Mbao za Mawe

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
22,816
Points
2,000
Mbao za Mawe

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
22,816 2,000
Waliwezaje kufunga hilo bao moja ile hali wamefunga?
 
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
3,763
Points
2,000
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2013
3,763 2,000
Yanga hawanaga akili siku zote, mbona Stand utd waliwafunga kipindi cha kwaresma?
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
15,895
Points
2,000
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
15,895 2,000
Jana mchana saa tisa gari yao ambayo wanatumia kwa safari nmeiona Tanga maeneo ya kwa minchi inafanyiwa service nikajiuliza hawa kesho wana mechi alafu mpaka muda huu hawajåsafiri, nikashangaa sana
 
enjai ya kyasha

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
2,468
Points
2,000
enjai ya kyasha

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
2,468 2,000
Yanga mda mnaotumia kujadili timu za wenzenu mngeutumia kujadili timu yenu mngekuwa mbali
 
Saguda47

Saguda47

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Messages
6,906
Points
2,000
Saguda47

Saguda47

JF-Expert Member
Joined May 1, 2016
6,906 2,000
Acheni unanga nyie YANGA, MNYAMA si size yenu.
 
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
14,033
Points
2,000
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
14,033 2,000
Coastal Union wametulia lakini kuna watu wanapiga mayowe. Mnawashwa?
 
Scolari

Scolari

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2017
Messages
208
Points
250
Scolari

Scolari

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2017
208 250
Kagere muislam
Manula muislam
Mohammed Hussein muislam
Ndemla muislam
Rashid Juma muislam
Mohammed Ibrahim muislam


Kwahiyo Hawa tu huko kufunga hakukuwaathiri?
 

Forum statistics

Threads 1,402,691
Members 530,969
Posts 34,402,418
Top