Changalucha
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 505
- 582
Nami nimevua miwani, nikavaa tena, nikavua tena nimekosa tu kijana mwenye macho ya afya hapa jirani yangu. Sijaamini kuwa huyu ndiye asemwaye ama siye au pengine ni watu kufanana au ni Mkaratu fulani wa pale Karatu.