Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Yericko Yohanes Msambila, teh teh teh.

CC; gombesugu,

Shariff Ritz,

Salaam Al Akhiy.

Yaani kwa kifupi nina ghadhabu nyingi mno. Maishani mwangu sijawahi kutapeliwa kama vile alivyotutapeli huyu kijana Yericko Yohana Msambila...baba yao Mzazi akina Lee Sung na mwenzie Chung Cheng!ahaha!!

Nastaajabu kuna wakti huyo Yericko alitujuza hapa jamvini yakuwa Mkewe/Shemegi yetu ni Mzanaki...sasa yawaje leo watoto, iwe Wazazi wao mmoja ni Mzanaki na mwingine ni Muhehe lakini wao wana majina ya ki-Chinese!?...

Ama kweli ma-Chinese wameiteka Afrika/Tanzania katika kila nyanja na sasa wanaingia mpaka kwenye Familiy,tamaduni na makabila yetu maskini...maskini Watu weusi!?ahaha!!

Unajua mara zoote mimi binafsi, niliamini kabisa yakuwa ati tunazungumza na Mwanataaluma fulani mkubwa mno tena alobobea kwenye fani yake!?...kama vile Sheikh Mohammed Said

Mara zoote jamaa hapa kibaruani maskini,walikua wakiniuliza mbona siku hizi nimecharukwa na pilika nyingi za mitandaoni na khabari za D'salaam!?...nami nilikua nikiwajibu Colleagues zangu maskini yakuwa ati nalumbana na Mwanataaluma mwenzetu huko nyumbani kuhusu Historia ya nchi yetu!?ahahaa!

Kumbe huyu ni muhuni fulani tu, maluuni na khabith mkubwa mno!

Mchana huu pia mimi binafsi nitafanza mawasiliano kujaribu kutafuta baadhi ya jamaa pale kwenye uongozi wa club ya Simba niwashtue kiduchu kuhusu huyu Mjukuu wa Msambila na utapeli wake hapo mjini.

Nitazungumza aidha na Mzee Khamis Kilomoni au Kaburu. Maana kuna khabari yakuwa jamaa wengi pale Kilabuni/Simba ati wanampa hishma huyu kinyonga kwa kujua ni mtoto wa kuzaliwa na Julius Kambarage Nyerere!?

Kwa kifupi,Yericko ametukana saana na kuwadhalilisha mno Wazee wetu kwa kuwaita majina kadhaa. Amemkashif Sheikh Mohammed pita kiasi!

Mimi mwanzoni nalifikiri huyu Mjukuu wa Msambila ni Scholar mkubwa mno. Lakini ile lugha ya mazungumzo yake,majisifu yake kwenye majambo ya kipuuzi na ule uwezo wake katika unyambulisho wa khabari na hoja...ghafula ndo nikaanza kupatwa na mashaka mengi tu!?

Wallahi,nimepatwa na huzuni nyingi pia kwa kero,karaha na zogo jingi mno alosababishia baadhi hata ya Wanajamvi hapa kutupiana maneno ya kashfa...na wengine maskini ati kusimama kidete kumtetea huyu mnafiki ambae ni janga la Taifa letu!

Zaidi ya hao kuna viwavi wengi tu hapa,wameshindwa kusimamia haki na kuacha hata watoto wa damu wa Julius Kambarage Nyerere watukanwe na kukashifiwa!?...hivi hao watu wanaweza vipi leo kutuonyesha nyuso zao hadharani na kujiita ati ni wasomi!?

Pamoja na jitihada zoote za Al Khalifa The Big Show maskini, kumtaka huyo mjukuu wa Msambila na mwana wa Yohana atake radhi,lakini bado anazidi kukakamaa na kuendelea kuomba contacts za baadhi ya Wanajamvi ili akazidi kuendeleza uchochezi na utapeli wake hapo mjini.

Pia nitafanza mawasiliano na Mzee Jumanne Mgovano wa pale Makambako,ili akafuatilie zaidi khabari za kizazi cha Yohana Msambila ili kujua...ni kweli hayo majina na Family vina-exists hapo Iringa anapodai ndipo atokeako Yericko!?

Yawaje leo Fundi umeme na makabati alozaliwa Mgololo Iringa, tena alosomea China,khalafu aje hapa jamvini kwa ujuvi na ujuba ulo mwingi na kusema yakuwa ati yeye anaijua Historia yoote ya Tanganyika na Zanzibar kwa mapana yoote kushinda mtu/kijana yeyote au hata Historian yeyote wa karne hii hapo Tanzania!?...

Ghalafu wanatokea viwete fulani wa maarifa wakiongozana na viwavi ati wanampigia vifijo na nderemo...maal'buuk!

Yeye huyo Mjukuu wa Msambila alifikiri yakuwa, sisi tulipokua tunamuuliza sources zake labda ni wapumbavu na hatujui kitu!?ahaha!!...

Tunajua yakuwa anachanganya sources,vitabu,maandiko,manuscripts na articles mbalimbali na kutafsiri kwa kile Kiswahili chake cha Makambako...ati ghalafu anatangazia watu/wanajamvi tulokaa hapa na maarifa yetu yakuwa anatufundisha Historia ya Tanganyika/Zanzibar.

Ndo maana jana pia nilimkumbusha ile khabar ya Intellectual Property Rights za Sheikh Mohammed Said.

Kama alivyowahi kunena Al Sahib The Big Show yakuwa; wengi wetu tumekuja/tulikuja na kukaa hapa jamvini na kutumia muda wetu adimu,sababu tu ya kupata Ilm adimu ya Scholar/Historian Sheikh Mohammed Said!

Sisi soote tuliokua tukihoji,tuliishia kukashifiwa na kuitwa wadini,"Radical Muslims",watu wa Madrassa,tuna chuki na Nyerere/Ukristo,hatujui kusoma wala kuandika,hatutumii mantiki/logic, wala hatujui kujenga hoja na utumbo mwingineo mwingi mno!?

Huyu Yericko Yohana Msambila(sio Yohanes/Yohanesy...kama anavyojaribu/anavyolazimisha iwe)...inalazim aangaliwe kwa makini mno...ni mtu hatari pia ni mchochezi, anaeweza kuleta maafa na kusababisha rabsha nzito hapo nchini kwa kutumia mitandao kama hii!

Kwa kifupi hayo maneno na utumbo wake mwingi mno alotuandikia jana kwenye ule "muago wake",alitakiwa vile vitu ndo avizungumzie awali kabisa hapa jamvini au kutoa ufafanuzi pale wanajamvi wenzie walipokua wakimhoji!?

Yaani wewe Mjukuu wa Msambila...umetuvunjia hishma zetu mno.

Umetutukania; ndugu yetu Sheikh Mohammed,Wazee wetu,Dini yetu tukufu na pia kutugombanisha na baadhi ya ndugu zetu Wakristo wastaarabu hapa jamvini takriban nusu mwaka sasa...khalafu unashindwa hata kututaka radhi kwa usumbufu wanajamvi wenzio na wale woote waliokua wakiacha shughuli zao ili kufuatilia mnakasha huu!?

...Khabith,Afrit na Maluuni saana wewe mshamba na limbukeni wa mji!

Yericko Msambila; kwa kifupi umenikera mno...nami si mwepesi wa kukereka.

Shariff Ritz,niwie radhi kwa bayana yangu kwako hii ilo dhaifu. Imenilazim kupitisha salam kwako maana wewe ndo umuwezae huyo kinyonga!?

Nashukuru hili jamvi limeachwa kiduchu ili wale woote tuliokhis tumefanziwa dhuluma za nyonyo zetu na makhanatha na huyo Yericko Msambila...tupite hapa na kumwachia pain killers zake japo kiduchu.

Kama vile alivyosema Ulamaa Al Maaruf Ally Kombo,yakuwa huyu Yericko lazim tumsute/tumsuduku japo kiduchu kwa usumbufu woote alotufanzia...labda kama akiamua kutumia ustaarabu na kututaka radhi rasmi kwayo!?

Ahsanta.

Cc;The Big Show,Boko Haram,Ustaadh Salum Mitema,Professor Ngongo.
 
Shariff Ritz,

... Wallahi,leo tangia asubuhi napasuka mbavu kwa hizi bayana zenu, Al Khalifa The Big Show na Ustaadh Boko Haram!ahaha!!

Nimepata huruma kiduchu,naona kuna Mwanajamvi mwenzetuanakusihi upunguze mipini maana unamsababishia aonekane "mwehu" mbele ya wanae!ahaha!!

Afadhali hata ya huyo mwenzangu,mimi nilikua Brunch pahala hapa,ghafla nimepasuka mbavu kwa kishindo tena mbele ya kadamnasi...naulizwa; Wot's wrong with ya today Gombesugu,can you please share the joke!?... yaani najifaragua tu maskini na jawaba sina lakini naendelea kucheka!ahaha!!

Yaani Shariff na The Big Show,visa na vituko vyenu sitavisahau daima!ahaha!!

Ahsanta.

Cc;The Big Show
 
Naam,Naam,
mimi sina la kuoongeza hapo,
Uliyoyaongea ni mazito na yamenikosha kweli kweli hadi kumoyo...!
Huyu muhehe amepotea njia tuh,
Na kama anaweza sasa ajitie kitanzi tuh,anatokea zake unyaluni huko analeta zake za unyalukolo unyakolo hapa?
Nimeongea pia na wanachadema wengi na viongoz kuwapasha habari za huyu mdandia nasaba za watu ili aogopwe kama ukomaa,
nitamtafuta Kamanda Ben Saaa nane ili azid kusambaza ukhasidi wa huyu limbuken ili liwe funzo kwake maishan mwake mwote,
Mpenda vya bure bure huyu...!!
 
The Big Show,

Nawe pia Al Akhiy nakusoma kwa utuvu... chambilecho cha Shariff Ritz,tena kwa kutumia miwani ya 3D(sio ile miwani ya mbao wapendayo kujivalisha Waheshimiwa Nguruvi3 na Mag3).

Natumai Kamanda Ben Saanane atafikisha hizi khabari pahala panapohusika huko Chadema na zitafanziwa kazi kwa uadilifu unaostahili.

Watu kama huyu Yericko na yule Slave wake Kiongozi wa Chadema kutoka Rombo,hawa ni kuwachunga mno...la si hivyo watazidi kuivuruga reputation ya Chama chenu Al Akhiy!

Ahsanta na pongezi nyingi mno kwako binafsi kwa hizi bayana zako na mipini iso shaka!ahaha!!
 
Shariff Ritz,

... Wallahi,leo tangia asubuhi napasuka mbavu kwa hizi bayana zenu, Al Khalifa The Big Show na Ustaadh Boko Haram!ahaha!!

Nimepata huruma kiduchu,naona kuna Mwanajamvi mwenzetuanakusihi upunguze mipini maana unamsababishia aonekane "mwehu" mbele ya wanae!ahaha!!

Afadhali hata ya huyo mwenzangu,mimi nilikua Brunch pahala hapa,ghafla nimepasuka mbavu kwa kishindo tena mbele ya kadamnasi...naulizwa; Wot's wrong with ya today Gombesugu,can you please share the joke!?... yaani najifaragua tu maskini na jawaba sina lakini naendelea kucheka!ahaha!!

Yaani Shariff na The Big Show,visa na vituko vyenu sitavisahau daima!ahaha!!

Ahsanta.

Cc;The Big Show

Al Habiby gombesugu.
Angalia hii picha huyo mwenye tai pembeni ya Kaburu, Yericko kama kama kawaida yake kajichanganya na viongozi wa SIMBA ha haa haa.
227263_221244374554136_3400685_n.jpg

Angalia na hii picha yake ingine hapa chini yupo Mbutu... ha ha aaah

971632_622894344389135_1632841956_n.jpg

Hapa chini yupo nyumbani mjengoni kapumzika.

563345_399261490085756_1588862652_n.jpg
 
Wallahi,Shukran Al Akhiy.

Ama kwa hakika wana-Adam si waadilifu wa kukumbuka Ahadi zao.

Insha Allah Mola takulipa kwa yoote ufanzayo...yaani menifurahisha mno pasi kiasi.

Nami sitaongeza neno hata kiduchu. Maana itakua ni kama vile kukutilia chumvi kwenye shira ya jelebi zako!?ahaha!!

Leo hii hii tajitahidi nijue mbivu au mbichi pale Simba Msimbazi...maana ile Club ni yetu, nawe Shariff Ritz wafahamu hilo kwa utuvu.

Yawaje leo aje mtu kutoka Mgololo na Makambako kutufanzia hadaa,khalafu tukinena kweli ndo tuitwe wabaguzi!?

Na kama kuna utapeli wowote alowahi kuufanza pale Kilabuni au anataka kuufanza,nitalijulisha rasmi hili jamvi!

Yeye huyo mjukuu wa Msambila kuwepo kwake pale Simba Sports Club...hazidishi wala hapunguzi, ni sawa na mtu kwenda kojoa baharini!ahaha!!

Niwie radhi Shariff ndugu yangu,kama unakhis nimetumia lugha iso tanashati kwako...unajua huyu Yericko leo tangia jana kaniletea ghadhabu nyingi mno,khasa baada ya kubaini yale yoote nilokua nina shaka nae!

Unajua mara nyingi alipokua akimtusi Sheikh Mohammed, nakhis ndo sasa majambo yanamrejea mwenyewe na kumwangamiza kwa yakini ilo nyingi!

Yawaje wewe utoke huko utokeako uje mjini kwa watu,umekaribiswha vyema...khalafu unaanza fedhuli,ujuba,kebehi na tashtit!?

Kama kweli huyo Yericko anatumia maarifa alitakiwa ajiulize mengi mno kwanza kabla ya kumvamia Scholar na MwanaDar-Es-Salaam Sheikh Mohammed.

Kama kuna watu/kikundi walomtuma au kumfadhili kwa ule uchochezi,nayeye kupokea senti kutoka kwao...khabar yenu ndo hiyo. Yaani chambilecho cha ndugu zetu Makumbaro wa pale Kilosa ni "machele punga"!ahaha!!

Utawezaje au hata kuthubutu vipi kwenda shindana na Nguli wa Manguli, Mwanataaluma, MwanaMzizizma, Mwanakindakindaki, Maalim Sheikh Mohammed Bin Said!?

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Mojawapo ya chanzo cha matatizo katika nchi changa no ubaguzi ambao huasisiwa na wachache ,husasan Tabaka Tawala / Wassomi kwa malengo ya Kimkakati.

Nchi yetu Ina bahati kidogo ,kuwa iliwekwa msingi ya kpunguza visabqbishi ikiwemo ,ubaguzi wa kiimani,kmakabila au wa kijiografia!
Kwa kuwa tabia hizi ni za kibinadamu hazijaisha kabisa!

Kuna Mwandishi mmoja wa Historia anaitwa Mohamed Said .Mwandishi huyu no maarufu Sana kwa kuandika Historia ya Tanganyika na Zanzibar.Na kwa mujibu wake ,yeye huandika Historia ambayo anasema ..ilifichwa,makusudi .

Hapa nitatoa mifano ambayo Mwandishi huyu anaandika ambayo inaweza kuleta chuki na mtafaruku katika jamii!

Awali,amebainisha Histori ya TANU,haiwataji baadhi ya Waislam,ili kuficha jitihada za Waislam kudai Uhuru wa Tanganyika! Sijawahi kusikia au kuona hili likikanushwa!
Pili,anaandika na kusisitiza kuwa Wizara ya Elimu,imekuwa ikitumia Uwiano wa 20:80 ktk kuchagua Wanafunzi Kidato chakwanza...hapo 20 ni Waislam!
Mwisho,hivi karibuni amehoji uhalali wa Gaudensia Kabaka kuwa Mwenyekiti wa UWT CCM!,ilhali yeye, alizuia ujenzi wa msikiti na kuwanyanyasa Waislam Chuo Kikuu Cha Dodoma!Kuwa inakuwaje huyu anaioghoza Taasisi iliyoasisiwa na Waislam kina Bibi Titi!?
Bahati mbaya kwangu,sijui uhalali wa shutuma hizi.Ila ni shutuma kubwa ambazo zinalenga kupandikiza chuki!Hapa zijazungumzia mtazamo wake kuwa Nyerere alipokelewa na kutunzwa na Waislam akitokea Bara na akaja kuwa tenga!
Swali langu ni je,inakuwaje wauhusika wanafumbia macho uandishi huu! Kukaa kimya ni kumpa kibali na wasomaji wake tumuamini!
Madhara yake ni makubwa!
Tafadhalini wahusika Serikali,CCM msiache kulizungumzia makala hizi ambazo Mimi huzisoma hapa Jamii Forum!
 
Mojawapo ya chanzo Cha matatizo katika nchi changa no ubaguzi ambao huasisiwa na wachache ,husasan Tabaka Tawala / Wassomi kwa malengo ya Kimkakati!

Kuna Mwandishi mmoja wa Historia anaitwa Mohamed Said .Mwandishi huyu no maarufu Sana kwa kuandika Historia ya Tanganyika na Zanzibar.Na kwa mujibu wake ,yeye huandika Historia amabayo anasema ..ilifichwa,makusudi!
Hapa nitatoa mifano ambayo Mwandishi huyu anaandika ambayo inaw3za kuleta chuki na mtafaruku katika jamii!
Awali,amebainisha Histori ya TANU,haiwataji baadhi ya Waislam,ili kuficha jitihada za Waislam kudai Uhuru wa Tanganyika! Sijawahi kusikia au kuona hili likikanushwa!
Pili,anaandika na kusisitiza kuwa Wizara ya Elimu,imerkuwa ikitumia Uwiano was 20:80 ktk kuchagua Wanafunzi Kidato chakwanza...hapo 20 ni Waislam!
Mwisho,hivi karibuni amehoji uhalali wa Gaudensia Kabaka kuwa Mwenyekiti wa UWT CCM!,ilhali yeye, alizuia ujenzi wa msikiti na kuwanyanyasa Waislam Chuo Kikuu Cha Dodoma!Kuwa inakuwaje huyu anaionhoza Taasisi iliasisiwa na Waislam kina Bibi Titi!?
Bahati mbaya kwangu,sijui uhalali was shutuma hizi.Ila ni shutuma kubwa ambaxo zinalenga kupandikiza chuki!Hapa zijazungumzia mtazamo wake kuwa Nyerere alipokelewa na kutunzwa na Waislam akitokea Bara na akaja kuwa tenga!
Swali langu ni je,inakuwaje wauhusika wanafumbia macho uandishi huu! Kukaa kimya no jumps kibali na wasomaji wake tumuamini!
Madhara yake ni makubwa!
Tafadhalini wahusika msiache kulizungumzia makala hisi ambazo Mimi huzisoma hapa Jamii Forum!
Badala ya Ujibu hoja za Mohamed Said, wewe ushakimbilia kujifichia kwenye Kichaka kuwa Muandishi ni Mchochezi, unataka Msaada wa Polisi kujibu hoja, Typical traits za CCM
 
Mojawapo ya chanzo Cha matatizo katika nchi changa no ubaguzi ambao huasisiwa na wachache ,husasan Tabaka Tawala / Wassomi kwa malengo ya Kimkakati!
Nchi yetu Ina bahati kidogo ,kuwa iliwekwa msingi ya kpunguza visabqbishi ikiwemo ,ubaguzi wa kiimani,kmakabila au wa kijiografia!
Kwa kuwa tabia hizi ni za kibinadamu hazijaisha kabisa!
Kuna Mwandishi mmoja wa Historia anaitwa Mohamed Said .Mwandishi huyu no maarufu Sana kwa kuandika Historia ya Tanganyika na Zanzibar.Na kwa mujibu wake ,yeye huandika Historia ambayo anasema ..ilifichwa,makusudi .
Hapa nitatoa mifano ambayo Mwandishi huyu anaandika ambayo inaweza kuleta chuki na mtafaruku katika jamii!
Awali,amebainisha Histori ya TANU,haiwataji baadhi ya Waislam,ili kuficha jitihada za Waislam kudai Uhuru wa Tanganyika! Sijawahi kusikia au kuona hili likikanushwa!
Pili,anaandika na kusisitiza kuwa Wizara ya Elimu,imekuwa ikitumia Uwiano wa 20:80 ktk kuchagua Wanafunzi Kidato chakwanza...hapo 20 ni Waislam!
Mwisho,hivi karibuni amehoji uhalali wa Gaudensia Kabaka kuwa Mwenyekiti wa UWT CCM!,ilhali yeye, alizuia ujenzi wa msikiti na kuwanyanyasa Waislam Chuo Kikuu Cha Dodoma!Kuwa inakuwaje huyu anaioghoza Taasisi iliyoasisiwa na Waislam kina Bibi Titi!?
Bahati mbaya kwangu,sijui uhalali wa shutuma hizi.Ila ni shutuma kubwa ambazo zinalenga kupandikiza chuki!Hapa zijazungumzia mtazamo wake kuwa Nyerere alipokelewa na kutunzwa na Waislam akitokea Bara na akaja kuwa tenga!
Swali langu ni je,inakuwaje wauhusika wanafumbia macho uandishi huu! Kukaa kimya ni kumpa kibali na wasomaji wake tumuamini!
Madhara yake ni makubwa!
Tafadhalini wahusika Serikali,CCM msiache kulizungumzia makala hizi ambazo Mimi huzisoma hapa Jamii Forum!
Mwisilamu hata akiwa professor kwenye suala la dini akili huwaruka. Wame brain washed sana na huyo Muhammad. Kipindi chao hiki
 
Back
Top Bottom