Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wasamehe hawajui watendalo!

Kina nani sasa hawajuhi watendalo ambao wanatakiwa kuomba msamaha kama siyo wewe, baada ya kuona mipango yako imekwama unawalazimisha Mods waufunge huu uzi kwa nini?

Huu uzi utakawa fundisho kwa wale matapeli wote wanaotumia majina ya watu kufanyia utapeli wao.

Aliyetakiwa kulalamika uzi huu ufungwe ni Mohamed Said, ambaye jina lake linahusishwa na uchochezi siyo wewe.

Haya maandishi yanasomwa kwingi ulivyojinasibisha na Kambarage mpaka Mohamed Said, anakuita mtoto wa Kambarage na wewe kimya wala haukanushi mtu akihoji tu unakimbilia kwa Mods.

Mods hata kama mnaufunga huu uzi upigieni mstari lakini ubaki hapa ulipo kuna vizazi vijavyo vitapata kujifunza.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wala asikuumize kichwa huyo mpumbavu,

Yeye ni sehemu ya wapuuzi wengi waliokuwepo hapa na sasa wamekosa cha kuongea wakaamua kutokomea,

Hajui hata anachokililia, yeye kwake neno "nyerere" ni homa kubwa!

Muache aendee kubwabwaja yamoyoni mpaka yamuishe kabisa kisha tutampa maziwa anywe asafishe domo lake!

Mie nimebaki mtazamaji tu hapa, jamvi tushalianua na ubwabwa tushaupuga long time!

Mkuu wa Chuo hebu nitumie namba yako shehe wangu!

haina tatizo sheikh wangu nakutumia namba yangu muda si mrefu...
 
Mkuu wala asikuumize kichwa huyo mpumbavu,

Yeye ni sehemu ya wapuuzi wengi waliokuwepo hapa na sasa wamekosa cha kuongea wakaamua kutokomea,

Hajui hata anachokililia, yeye kwake neno "nyerere" ni homa kubwa!

Muache aendee kubwabwaja yamoyoni mpaka yamuishe kabisa kisha tutampa maziwa anywe asafishe domo lake!

Mie nimebaki mtazamaji tu hapa, jamvi tushalianua na ubwabwa tushaupuga long time!

Mkuu wa Chuo hebu nitumie namba yako shehe wangu!

Nasikia mzee alipokuwa hai alikuwa anakuambia rafiki yake ni Mshume Kiyate, vipi lini utaenda Butiama nyumbani kutuletea picha Mwalimu kavaa nguo alizonunuliwa na Chifu Mariale.

Usitake kukimbia kaa humu jibu maswali hakuna mtu mwenye tatizo na jina la "Nyerere" kama unavyotaka kutuaminisha.

Yupo Steven Nyerere nani ana shida naye, tatizo ni kujifanya mtoto wa Mwalimu Julius Kambarage.
 
Ha ha ha ha ah Dr Ritz huishi vituko Mkuu Yericko Nyerere katoa ufafanuzi mzuri lakini bado unamshikia bango sasa ebu niambie ulitaka asemeje ili uridhike.

Sasa ulivyokuwa ananitisha eti nisihoji mahusiano yako na Nyerere takuwa natangaza vita na mods kisa wewe ni Verified User ulikuwa na maana gani.

Na kwa nini uliwadanganya wanaukumbi muda wote huo mpaka wengine wamekutetea kuwa wewe ni mtoto Julius Kambarage watu kama Ngongo, WildCard, wataweka wapi sura zao kwa jinsi walivyokuwa na uhakika kuwa Kambarage ni baba yako.

Na kwa nini ulikuwa unataka kuwafumba midomo watu kuwa wasiliongelee tena hili swala mtalimaliza kifamilia na Mzee Butiku.

Mods: Paw, Buchanan, na Invisible, huyu mtu anatakiwa hawaombe radhi nyie pamoja na wanaukumbi kuna watu mliwapiga ban kwa sababu ya kuhoji nasaba yake na Mwalimu Julius Kambarage, na kawapa usumbufu mkubwa sana, kaka yangu Jasusi, kwa hili taendelea kukupa lawama kwa ukimya wako mpaka kina mama Maria mzee Butiku wamepata usumbufu mkubwa, pamoja na watoto wengine wa Kambarage, wengine wametukanwa humu.

Ki ufupi huyu jamaa ni tapeli.
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha ha ah Dr Ritz huishi vituko Mkuu Yericko Nyerere katoa ufafanuzi mzuri lakini bado unamshikia bango sasa ebu niambie ulitaka asemeje ili uridhike.

Prof. Ngongo,

Hili suala ni zito sana ukizingatia linamuhusu Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Anatakiwa kumtaka radhi Mama yetu Maria Nyerere muda wote huo alikuwa anatafakari bila kupata majibu ya kuwa mume wake kumbe alimsariti alikuwa na mtoto mwingine tofauti na wale watoto wao saba waliopata pamoja.

Hawatake radhi watoto wote wa Julius Kambarage Nyerere kwa usumbufu wote waliopata toka mnakasha huu ulipoanza.

Hawatake radhi wanakumbi wote humu na wasomaji zaidi ya 200.000+
 
Last edited by a moderator:
yeriko xxxxxxxxx.ameumbukaaaaa.jinga hiloooooooooooooo.limeumbukaaaaaaaa.umetuulia ndugu zetu kwa kufoji vyeti vya ukandarasi ona umeporomosha majengo nyoooooooo.umtumia jina la mwalim kumbe kanjanja 2.ona ofisi kama choo.na elimu yako ya kichina hiyo mwisho wake mwz wa 12 tcra wanaifunga.halaf unaonekana umezeeka sana au njaa yeriko xx...kanjanja huyoooooooooooooooo:nod::yell::heh:
 
Tumeumalza kiutam sana mjadala huu,

Yan opponent kaja kuanguka Round ya mwisho kabisa,na tulikuwa tuna uwezo wa kumwangusha tokea round ya kwanza,lakin Moh Said tukaona tumpe wasaa kwanza amwage elimu hapa kisha tummalize mtuhumiwa wetu namba moja,

Yericko checkbob ati anasema babu yake INASEMEKANA KATOKEA KASKAZIN NA WANA UHUSIANO NA NYERERE..!
Ha ha ,just simple like that?

Mhehe na Mzanaki wapi na wapi?

Naskia huwa mna hulka za kujinyonga nyinyi,

Sasa ni fursa kwako kwa aibu hii iliyokukumba usage vyupa umeze au ujitundike kitanzi?

Utauweka wapi uso wako na nasaba yako ya kudandia hapa jukwaani?

Utapeli siku zote hauna tija,na njia ya mwongo na mwizi siku zote ni fupi??

Tumekushikisha adabu,na hii itakuwa fundisho kwa jamaa zako wote,

nakuona jins unavyolia na kusaga meno,lakin bakora bado sana...
 
Kuna Muhehe anaitwa Nyerere? Majina ya Wahehe ni kina Mdunda, Kivenule, Mwakavijika, Mnyiguma, Myinga, Lumaco.

Mengine,
ni lufunyo,mlyuka,
mwilinge,ha ha ha,just to mention few,,
vip lakin hajajinyonga?
Kwa maana ndio tabia yao hii...
 
Tumeumalza kiutam sana mjadala huu,

Yan opponent kaja kuanguka Round ya mwisho kabisa,na tulikuwa tuna uwezo wa kumwangusha tokea round ya kwanza,lakin Moh Said tukaona tumpe wasaa kwanza amwage elimu hapa kisha tummalize mtuhumiwa wetu namba moja,

Yericko checkbob ati anasema babu yake INASEMEKANA KATOKEA KASKAZIN NA WANA UHUSIANO NA NYERERE..!
Ha ha ,just simple like that?

Mhehe na Mzanaki wapi na wapi?

Naskia huwa mna hulka za kujinyonga nyinyi,

Sasa ni fursa kwako kwa aibu hii iliyokukumba usage vyupa umeze au ujitundike kitanzi?

Utauweka wapi uso wako na nasaba yako ya kudandia hapa jukwaani?

Utapeli siku zote hauna tija,na njia ya mwongo na mwizi siku zote ni fupi??

Tumekushikisha adabu,na hii itakuwa fundisho kwa jamaa zako wote,

nakuona jins unavyolia na kusaga meno,lakin bakora bado sana...

Yericko aka Chung Lee ........alileta mada hii ya uzushi, akiwa amepagawa tena akiongozwa na pepo, la husuda na choyo !

'Je, ! nikwambieni ni nani (ambao) wanawashukia Mashetani ?
Wanawashukia kila mzushi mkubwa na mwingi wa dhamb.
Quran:Ash:221-222.
 
Back
Top Bottom