Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ritz,
Naomba unisaidie ndugu yangu,yale matusi ya Yericko yamefutwa,
Na mods wamekaa kimya hadi sasa,
Kwanin msumeno huu unakata upande mmoja??cc@Zomba
& gombesugu,

Whats going on??Sielewe kabisa unajua...
KWANIN YEYE HACHUKULIWI HATUA??

83 /17 Kama kawaida aliyoiacha Nyerere. Tutafika!
 
The Big Show, Ritz, Zomba na wengine,

Naona hilo suala la mimi ni mtoto wa nani linawasumbua sana!

Sijajua tatizo kwenu nini hasa, kinachowakera ama kuwafurahisha!

Tangu tuanze mjadala huu sija KANUSHA wala KUKUBALi kile mnachokihoji na ambacho mngependa nyinyi niseme,

Kwabahati mbaya au nzuri wengi mmeninukuu pale niliposema, "mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi"

Lakini nitarudia tena kusema wapigania uhuru wote kwangu ni wazazi wangu, tena ni wazazi hasaaa!

Nisingependa kuenda ndani zaidi kwakuwa hili ni suala binafsi na linatutoa nje ya mjadala huu!

"mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi"

Vipi? inakutokea puani? Kujinasibisha nasaba zisizo zako, mtu kama wewe ndio mnaotapeli watu.
 
Kwani ilikuwa inaelekea wapi ........pangekuwa JF ni studio....ingebidi mpangwe halafu mfunguliwe kwa pamoja kila mmoja arapa kwa fujo aondoke ili akajifurahishe kuwa na yeye ni msanii.Mnaingia wengi sana halafu mnakuwa junks tupu.....

Narudia mnajidanganya sana kupeana vyeti na maitihani kihuni..mwisho wasiku mnabasi kuwa club ya mapumbavu..shid aiktokea kil anayekuja anataka solve kwa njiaile aliyonshindwa mwingine.

kwa sababu hii thread ipo nje ya uwezo wako.. weye ni wa copy paste ... internationa forum kule na kina maxishimba , jukwaa unaloweza kujadili bila copy & paste ni MMU tu ! ... nasema tena utaharibu hii thread
 
Lady Alaska,

Wewe ni mwanaume au Mwanamke? Unatuchanganya kama mwanaume kwa nini unatumia Avatar ya KIKE unatupa wasiwasi.
ILM imeathiri ubongo wako,avatar ni my daughter,anyway as per mila zenu,yule mwanao ushamcheza ngoma????
 
Zomba

Soma shukrani zangu za Muago wa ushiriki wenu katika uzi huu,

Nimeeleza kwakini kuwa Yericko Nyerere ni nani?

Wanalichukia jina Nyerere sana,kila mahali wakiliona wanatamani kulilipua.Wanasahau majina yana njia nyingi kuwa sehemu nyingi na tofauti. Kuna Jesus wengi sana ktk latin countries, kuna majina muhamad dunia nzima, kuna Lee kila mahali..hawajawahi washwa nalo..ila hili wasilolitaka ktk Uhuru wa nchi ni issue.Si hawa hawa wanawashwa sana na mchakato wa kanisa katoliki kumtangaza kuwa mtakatifu.As if nao ni wakatoliki.
 
Wasamehe hawajui watendalo!
 
Zomba

Soma shukrani zangu za Muago wa ushiriki wenu katika uzi huu,

Nimeeleza kwakini kuwa Yericko Nyerere ni nani?
Mkuu Yeri', tuwekee Weka #, sisi wengine hasira zetu zi karibu na tu wepesi wa kuwa provocked hivyo tunachagua post za kusoma na hatusomi zote! haswa kwa kuzingatia, hii ndio top of the toppest threads kuchangiwa kuliko thread nyingine yoyote tangu jf kuanzishwa, ile 2006!, na hapa soon it hit 20,000 posts with 1000 pages!. You have "the powers!" na pia naomba nikiri Maalim Mzee Mohammed Said, "has the powers!"
P.
 
Hapa audience 90% ni ya kupata ilm kutoka kwa Mzee Mohamed Said. Ni nini kipya Yericko Nyerere alichokileta?

Hasira zako peleka kwako, hapa pata darsa kwa ambayo ulikuwa huyajui kabla. Jee, ulimjuwa Mshume Kiyate kabla ya kumsoma Mohamed Said?
 
Last edited by a moderator:
Wanalichukia jina Nyerere sana,kila mahali wakiliona wanatamani kulilipua.Wanasahau majina yana njia nyingi kuwa sehemu nyingi na tofauti. Kuna Jesus wengi sana ktk latin countries, kuna majina muhamad dunia nzima, kuna Lee kila mahali..hawajawahi washwa nalo..ila hili wasilolitaka ktk Uhuru wa nchi ni issue.Si hawa hawa wanawashwa sana na mchakato wa kanisa katoliki kumtangaza kuwa mtakatifu.As if nao ni wakatoliki.

Hayo ya Kanisa Katoliki ni ushahidi tosha kuwa Nyerere alikuwa pale kwa Maslahi ya kanisa kwanza na wananchi baadae.
 
Zomba

Soma shukrani zangu za Muago wa ushiriki wenu katika uzi huu,

Nimeeleza kwakini kuwa Yericko Nyerere ni nani?

Umejipachika jina, Andrew Nyerere alishakuja akakukana humu, alisema kuwa kauliza Msasani hawakujui na sasa Butiama hawakujui.

Kujipachika nasaba usiyo nayo ni ujinga na utumwa wa kimawazo. Hususan inapokuja kujipachika jina la dikteta.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Yeri', tuwekee Weka #, sisi wengine hasira zetu zi karibu na tu wepesi wa kuwa provocked hivyo tunachagua post za kusoma na hatusomi zote! haswa kwa kuzingatia, hii ndio top of the toppest threads kuchangiwa kuliko thread nyingine yoyote tangu jf kuanzishwa, ile 2006!, na hapa soon it hit 20,000 posts with 1000 pages!. You have "the powers!" na pia naomba nikiri Maalim Mzee Mohammed Said, "has the powers!"
P.

Ndugu zangu wanajamvi wote mlioshiriki mjadala huu,

Kwa namna moja ama nyingine naomba niwashukuru sana wote bila kujali itikadi ama mitazamo yetu,

Nafanya hivyo nikitambua umuhimu wa kila mmoja wetu hapa katika uzi huu tangu ulipoanzishwa nami 12/01/2013 mpaka hii leo tumekuwa hapa bega kwa bega usiku na mchana,

Nasema wote ninawashukuru kwa ushirikiano wenu, tumeongea pamoja, timecheka pamoja, tumekwazana pamoja, naam na sasa tunaagana pamoja!

Sisi sote ni waswahili na ni binadamu, tofauti zetu zilizotawala mjadala wetu tuziache hapa hapa, vinyongo vyetu tuviache hapa hapa, na kila husda tuliokuwa nao na tuuache hapa hapa!

Tumepata fursa adhimu ya kuzungumza yamoyoni, pia tumepata fursa yakufahamiana na kwa hili hakika tumejenga mtandao imara wa kifikra!

Shukrani zangu za pekee zimuendee Mzee wetu Mohamed Said, amekuwa mvumilivu sana mpaka mwisho akashindwa na hakika amejitahidi, nampongeza kwa hilo tu,

Pia niwapongeza wanahistoria wenzangu waliosimama nami kwa weledi wao kutetea ukweli na kuukemie upotoshaji wa Mohamed Said, hawa si wengingine bali ni Nguruvi3, Mag3, Mwanakijiji, JokaKuu, Jasusi, Son of Alaska, Nicholas, Zumbemkuu, Gwalihenzi, na wengine wengi walioshiriki nasi!

Lakini nitakuwa sina fadhila kama sitawashukuru ndugu zetu kama Ritz, The Big Show, Barubaru, Zomba, Sadeeq, Spike Lee, na wengine wote wakufanana nao!

Niwashukuru sana uongozi wa JF hasa Mods kwa kuusimamia mjadala huu kwa weledi wa hali ya juu sana! Hii ni heshima kubwa sana kwa JF na Tanzania kwa ujumla!

Mwisho,

Wale mliotaka kunifahamu mimii ni nani hasa? Ninawajibu rasmi!

Naitwa: Yericko Yohanesy Nyerere

Mahali nilipozaliwa: Nyololo, Mufindi, Iringa.

Kabila: Ni Mhehe,

Baba yangu: Yohanes Msambila Nyerere, (marehemu)

Mama yangu: Venancia Geremias Mgimwa,

Elimu: Muhandisi wa Umeme na Compyuta kutoka Chuo cha Beijing Information Technology College China (BITC)

Kazi: Mfanyabiahara, Mwenyekiti Mtendaji wa Umoja wa Makampuni ya YECCO GROUP LTD yanayojishughulisha na Ujenzi wa Majengo, Ujenzi wa Mabarabara, Umeme, Teknohama, Uwakala wa Usafirishaji, Uwekezaji katika Majengo, na Usanifu na Ukadiriaji Majenzi

Kuishi: Kigamboni Mbutu,

Nina mke mmoja na watoto wa wili ambao ni Che-Lee na Su-Yang

NB:

Mimi sina UNDUGU na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, lakini chimbuko la Babu yake na Babu yangu Mzee Msambila Kihulo Lihangawike Nyerere "inasemekana" alikuwa ni wa kaskazini mwa Tanzania!

Kwahiyo katika uzi huu nimesimama kama Mtanzania mwingine yeyote anaekwazwa kuona dhihaka wanayofanyiwa Wanaukombozi wetu!

Nawashukuru nyote, nawaomba tofauti zetu zote tuziache hapa hapa na tuongee lugha moja ya maelewano na kidugu!

Kwa heshima na taadhima ninaomba niufunge mjadala huu kwakuwa ukweli tumeuwkea huru!

Asanteni sana!
 
Sasa ulivyokuwa ananitisha eti nisihoji mahusiano yako na Nyerere takuwa natangaza vita na mods kisa wewe ni Verified User ulikuwa na maana gani.

Na kwa nini uliwadanganya wanaukumbi muda wote huo mpaka wengine wamekutetea kuwa wewe ni mtoto Julius Kambarage watu kama Ngongo, WildCard, wataweka wapi sura zao kwa jinsi walivyokuwa na uhakika kuwa Kambarage ni baba yako.

Na kwa nini ulikuwa unataka kuwafumba midomo watu kuwa wasiliongelee tena hili swala mtalimaliza kifamilia na Mzee Butiku.

Mods: Paw, Buchanan, na Invisible, huyu mtu anatakiwa hawaombe radhi nyie pamoja na wanaukumbi kuna watu mliwapiga ban kwa sababu ya kuhoji nasaba yake na Mwalimu Julius Kambarage, na kawapa usumbufu mkubwa sana, kaka yangu Jasusi, kwa hili taendelea kukupa lawama kwa ukimya wako mpaka kina mama Maria mzee Butiku wamepata usumbufu mkubwa, pamoja na watoto wengine wa Kambarage, wengine wametukanwa humu.

Ki ufupi huyu jamaa ni tapeli.
 
hata mimi hii kitu imenichanganya sana, najaribu kuunganisha dot lakini nashindwa...

Hapo umejaribu ku reasoning lakini naona logic kabisa kwenye hayo maswali yako...

Hapo kweli ni confusion.
 
Mkuu wala asikuumize kichwa huyo mpumbavu,

Yeye ni sehemu ya wapuuzi wengi waliokuwepo hapa na sasa wamekosa cha kuongea wakaamua kutokomea,

Hajui hata anachokililia, yeye kwake neno "nyerere" ni homa kubwa!

Muache aendee kubwabwaja yamoyoni mpaka yamuishe kabisa kisha tutampa maziwa anywe asafishe domo lake!

Mie nimebaki mtazamaji tu hapa, jamvi tushalianua na ubwabwa tushaupuga long time!

Mkuu wa Chuo hebu nitumie namba yako shehe wangu!
 
Back
Top Bottom