Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Mkuu, wewe ni mtu wa Data. Mie nipo huku SIKONGE na siwezi kuja hazina. Nenda hazina na wakupe Data kwa mwaka jana Sikonge Hospital wamepokea fedha kiasi gani. Halafu nenda angalia Data ambazo Serikali na Hospital walikubaliana na njoo SIKONGE Hospital uone kama tunabagua kutibu mtu yeyote. Tunatibu kwa hasara tupu na wewe unasema kuwa tunafaidi? Kufaidi nini? Kutibu Waislaam ambao kesho ndugu zao wanatutukana?
Mie sitaki mnyamaze ila MSEME UKWELI. And the truth will set you free.
Mie sitaki mnyamaze ila MSEME UKWELI. And the truth will set you free.
Hivyo unatutaka Waislamu tunyamaze ili tuzidi 'kupata misaada' na tusidai haki ya kujisaidia wenyewe ili baadae kuwe na Takwimu zinazoonyesha Waislamu wachache wananufaika na msamaha mkubwa uliolenga upande mmoja?