Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
- Thread starter
- #21
Si kweli! vitendo vyako vipo wazi.
...unatafuta pa kutokea! kwanza ulimdandia mwanasiasa kijana wa chama tawala ili akupe mdahalo, akakushtikia na kukutosa, sasa unaona njia ya kutokea ni kupitia Mohamed Said.
Kama Mohamed Said atakujibu basi itakuwa amekufanyia hisani sana, vizuri kawalete Maaskofu waje hapa na majina yao kamili (kama Mohamed Said anavyojiamini na jina lake kamili) ili waingie mdahalo na Mohamed Said, si wewe Yericko.
Ili uweze kupembuka na kufaidi mang'amuzi ya nera, ni vema ukaangalia kkilichoandikwa kuliko kuniangalia mimi!
Mimi sijamjadili Mohamed Said binafsi, bali nimeyazungumzia maandiko yake, vivyohivyo kaa katika dhana hii!