Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Umeshindwa kuonyesha kwamba Marekani si magaidi kutokana na definition yako ya ugaidi. Kitabu chako chote kinakuwa hakina maana kama wewe mwenyewe umeshindwa kunyambua tu definition yako ya ugaidi na kuhalalisha kwa nini Marekani sio magaidi? Mimi ningekushauri utafute kazi nyingine ya kufanya yenye manufaa kwako na familia yako. Hii ya kuandika kuhusu vita ya Wamarekani dhidi ya ugaidi itakudhalilisha tu na kukupotezea muda wako.

Zali la Mentali,
Huyu kijana anafanya mzaha katika mambo mambo mazito.

Asome haya hapa chini maneno niliyowaeleza Waamerika katika mkutano Chuo Kikuu cha Ibadan
mwaka 2006:

Whereas the people in Cambodia, Laos and Vietnam never pursued the United States outside their own national boundaries for revenge; this new foe opened a war front wherever he could strike against his target.

The targets are chosen randomly with no established pattern.

The bomb attack of Trade Centre in New York (1993), Khobar Towers in Saudi Arabia (1996) and that of the United States Embassies in Nairobi and Dar es Salaam (1998) was a manifestation of that struggle.

On the 9[SUP]th[/SUP] of September 2001 hijacked planes hit the Twin Towers in New York and the Pentagon in Washington.

The war was taken inside American territory. Overtime the hunter became the hunted. Whereas the United States had vast experience in warfare it had not experienced anything close to the tragedy of 9/11.

The Kamikaze attacks by the Japanese during WWII in the Pacific were an enemy the United States could see and even predict hence counter attack in the war zone.

But the suicide bomber was not usually operating in a war zone or in a conflict theatre; he was unpredictable as he was determined.

Whereas ‘Desert Storm' reports in the electronic media showing ‘high precision bombings' of Iraq by the United States forces and its allies became a sort of entertainment on TV screens, the 9/11 attack on the Twin Towers was a horror movie alien to Americans.

For the first time in history the American public realised that they too like the people of Afghanistan, Iraq and Palestine were also vulnerable to enemy bomb attacks although from a different setting.

Hii inatoka katika mada niliyowasilisha Chuo Kikuu Cha Ibadan mwaka 2006 likiwa jibu kwa Balozi wa Marekani Robert Royall kutokana na mada yake aliyowasilisha Bungeni Dodoma.

Huenda maneno hayo hapo juu yakamsaidia kuelewa tatizo la ugaidi kwa mapana yake.
 
Umeshindwa kuonyesha kwamba Marekani si magaidi kutokana na definition yako ya ugaidi. Kitabu chako chote kinakuwa hakina maana kama wewe mwenyewe umeshindwa kunyambua tu definition yako ya ugaidi na kuhalalisha kwa nini Marekani sio magaidi? Mimi ningekushauri utafute kazi nyingine ya kufanya yenye manufaa kwako na familia yako. Hii ya kuandika kuhusu vita ya Wamarekani dhidi ya ugaidi itakudhalilisha tu na kukupotezea muda wako.

Zali la Mentali,
Huyu kijana namwekea kitu kingine kimsaidie katika kuchambua nani gaidi nani si gaidi:

In order to understand the Tanzanian political environment and to appreciate and comprehend the impact of ‘terrorism' as defined by the United States, first we need to point out that this phenomenon was and still is a problem which involves the government of the United States and to a limited extent its allies.

The shock of 9/11 forced the United States to not only to include its allies in its war against terrorism but also other governments not forming part of the United States geo-political sphere like Tanzania.

It is in this way that Tanzania and other African countries were included in the war against terrorism.

Secondly, we have to look into the perception of associating Islam as an ideology which nourishes terrorism, the notion which seems to be gaining ground.

Thirdly, we have to qualify the notion of ‘terror.'

What kind of violence qualifies to be considered as an act of ‘terrorism' and therefore deserving condemnation?

At the moment it seems it is only when civilians are targeted for attack that the act assumes the connotations of ‘terror.'

This is in contrast where modern weaponry is used by nation states in annihilation of a people.
Examples of the latter are abound.

The sight of a suicide bomber in television screens is just as familiar as the sight of the Apache helicopters supported by heavy fortified tanks bombing, killing and maiming innocent civilians, be it in Afghanistan, Gaza or Iraq.

Now where do we draw the line between these two scenarios?
 
Achahasira,
Huyu kijana hana uwezo wa kuandika kitu cha kisomi wala hana uwezo
wa uchambuzi wa kiasi cha wasomi kumsoma.

Zaidi sana anakopi mahali anabandika.

Hao Waamerika anaowasemea kuhusu ugaidi wao ndiyo wanaongoza kwa
ubaya duniani.

Naweka hapa chini machache katika ugaidi wa Waamerika miaka na miaka:

Out of its own free will Tanzania after the bombing of the United States Embassy in Dar es Salaam in 1998 and after 9/11 found itself being dragged into a war of attrition which it had no justified cause to get involved.

Despite of the Cold War politics of the post WW II era Tanzania had never considered the United States as an adversary much as it was supporting oppressive regimes and conducting illegal acts of aggression in Vietnam, Laos Cambodia, Nicaragua and in many other places.

Nowhere was this policy abhorrent than in South Africa under apartheid and in Palestine where Israel is forcefully with the full support of the United States was occupying Muslim land, killing and maiming innocent children with lethal weapons supplied by the United States.

Through its policies in the Middle East and elsewhere the United States was creating and is still creating more enemies, but it does not care because the primary objective of the United States is to guard its national interest, other matters are secondary.

And to back up its national interest the United States has in possession a formidable war machine which no country on earth can defeat in conventional warfare.

Hii inatoka katika mada niliyowasilisha Chuo Kikuu Cha Ibadan mwaka 2006 likiwa jibu kwa Balozi wa Marekani Robert Royall kutokana na mada yake aliyowasilisha Bungeni Dodoma.

mzee wangu kwa heshima zote, sioni umuhimu wa kuendelea kupeana ilmu hapa kwenye thread hii. tufungue nyingine uzidi kutuelimisha. mungu akulipe na akupe subra ya kuvumilia njama zao.
 
gombesugu
Salaam sana,hilo ulilolisema litakuwa la maana zaid,kama hoja zishatolewa humu na hakuna jipya analolifanya huyu chakubimbi zaid ya kuja kuuonesha pishi lake jingi la ujinga hapa,,

Me nadhan hakuna haja ya kuendelea kumpa umaarufu usio na sababu,huu alioupata unatosha sana,kama kuna uwezekano tumwombe tuh mwalimu wetu Mohamed Said akapumzike na tuanzishe uzi mwingine ili wenye nia ya kutaka kuipata ilm kutoka kwake tuipate bila bughdha za aina yyte,kwa maana sasa tushaanza kufanyana wote ni watoto wadogo,mtu mpuuzi anakuja hapa na mabandiko yake ya kifedhuri ati ugaid ugaid na yericko nyerere anachokiandika na anachokisema cha maana wala hakionekani,mpumbavu sana huyu jamaa,,ndio kwa maana Invisible anawaambia wafiche upumbavu wao na waoneshe werevu wao lakini walizingatii kabisa hili..
Yericko umaarufu ulioupata hadi sasa nadhani unakutosha sana,kama unataka kuuuza kitabu chako na kukitangaza fungua uzi watu wenye kukitaka watakufuata huko,usitegemee kusafiria nyota ya Moh Said hapa umeskia we limbuken???

Adabu ni msingi wa turufu ya heri!

Ndugu yangu,

Matusi yote hayo yanini?

Hoja zote tulizozitoa lakini Mohamed Said na nyinyi mnaomuunga mkono bado hamjazijibu,

Ajabu Mohamed Said amenikimbia tena kwakujihami kabisa, lakini ikiwa kama ni aina ileile ya mchezo,
Na nyinyi wafuasi wake mnaendesha matusi yasiyokuwa na msingi hapa!

Kwanini msijikite katika hoja?

Jibuni hoja au leteni hoja tuzijibu!

Lugha ya dhihaka na maudhi sio njema kijana,

Kumbukeni kuwa jf sio mwisho wa maisha ya mtanzania, bado kunamaisha nje ya jf!
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said,

Kwanini unaamini kuwa maandishi yako ni sahihi na yamwingine sio sahihi?

Kinyume chake hapohapo unasema ni yakunakili tu?

Sasa upi usahihi ama amana ya kweli?

Moja ya mambo ambayo yameshakuathiri na hautobadilika kamwe ni "ubora mimi" ulionao ndugu yangu!
 
Umeshindwa kuonyesha kwamba Marekani si magaidi kutokana na definition yako ya ugaidi. Kitabu chako chote kinakuwa hakina maana kama wewe mwenyewe umeshindwa kunyambua tu definition yako ya ugaidi na kuhalalisha kwa nini Marekani sio magaidi? Mimi ningekushauri utafute kazi nyingine ya kufanya yenye manufaa kwako na familia yako. Hii ya kuandika kuhusu vita ya Wamarekani dhidi ya ugaidi itakudhalilisha tu na kukupotezea muda wako.

Ndugu yangu,

Hakuna swali ulilouliza direct kama marekani ni gaidi,

Ulichouliza ni vita vya iraq na afghanistan kama ni ugaidi wa marekani?

Ndiomana nikakwambia sio kisha nikaweka neno "lakini" baadhi ya matukio yanayotokana na operation hizo yanaangukia kwenye ugaidi
 
mzee wangu kwa heshima zote, sioni umuhimu wa kuendelea kupeana ilmu hapa kwenye thread hii. tufungue nyingine uzidi kutuelimisha. mungu akulipe na akupe subra ya kuvumilia njama zao.
Kwa hili nalazimika kumtetea Al Akhiy Mohamed Said...hapana Achahasira, mtu kasota akifanya utafiti wa zaidi ya miaka 15 na kaandika vitabu, kwa nini usioneshe hata shukhrani kidogo kwa kununua angalau kakitabu japo kamoja. Yaani mtu mwingine ahangaike wee juani, wewe Achahasira unasubiri tu kula kivulini!

Pamoja na hayo, naomba niwatoe hofu wasomaji; kuhusu hoja ya Waislaam kuachana na Bakwata na kuunda chombo chao huru, mimi, ingawa si Muislaam, naunga mkono 100%. Hata hivyo hofu yangu ni kama watatokea Waislaam wasiokubaliana na hoja hii, tunaweza kujikuta tuko back to square one...kulaumu Mfumo Kristo.

Nasema hivyo kwa sababu nina hakika wapo Waislaam tena wengi tu wasiokubaliana na madai ya Mohamed Said na wanamwona kama mchochezi tu. Mathalani ninaye rafiki yangu Muislaam ambaye hataki kabisa hata kuchangia hii mada akidai itamkwaza bure kwani hawezi kuvumilia upotoshwaji na uchochezi ndani ya mada hii.

Anayeamini kuwa leo hii inawezekana kuundwa chombo kitakachokubalika kwa Waislaam wote nchini anajidanganya na hata kwa Wakristo hilo haliwezekani. Mohamed Said, Mashekhe Ilunga na Ponda wanao wafuasi si kidogo, sawa, lakini hivyo hivyo kuna maelfu kwa maelfu ya Waislaam wasiokubaliana nao hata chembe.
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere said:
Kitengo hiki hakiishii hapo tu bali huwatafuta wale magaidi wote waliojitolea nafsi zao baada ya kuvunjika kwa muungano wa Kisoviet. Kila mpiganaji ambaye hakupata shahada kuwa ni gaidi!
Lakini wakati walipokuwa wakipigana na Soviet Union walikuwa wakiitwa Freedom Fighters!
Ronald Reagan rais wa Marekani wa wakati huo alikuwa akiwatambua kama freedom fighters na aka-dedicate Columbia shuttle kwa Afghans freedom fighters.
Yericko Nyerere said:
au Mujahidina kama ambao walitokea karibu dunia nzima kujibu wito wa jihadi dhidi ya wakomonisti baada ya jihadi walisambaratika duniani kote
Unafanya kilekile wanachokifanya Wamarekani! wakati wakipigana na Wakomunist walikuwa ni Freedom Fighters, Mujahidin lakini baada ya kumalizika vita na Soviet Union wakaitwa magaidi!

Na sababu ni kuwa baada ya Ukomunist kufa Marekani hakuwa na adui mwengine aliyebaki isipokuwa Uislamu! Usoshalist pia ulishajifia wenyewe kwa hiyo ni Uislamu tu ndio uliobakia kuwa kikwazo kwao.
Yericko Nyerere said:
na wale waliokuwa wanatafutwa na serikali zao waliamua kubaki huko wengine walienda huko Bosnia, Tajikstani Chechnya, Algeria, Yugoslavia na kwingineko duniani na kuendelea kusimika serikali za zenye msimamo mkali na jihadi wakiwa wanaomba wafe wakiwa mashahidi
Hakuna waliokuwa wakitafutwa na Serikali zao! fanya utafiti zaidi.
Kilichotokea ni baada ya Jihad Sheikh Abdullah Azzam aliwatangazia Mujahidin wote waliopo Afghanistan warudi makwao na kuendelea kuishi maisha ya kawaida uraiani.

Marekani kwa upande wake hakupendelea kuwaona wakirudi makwao kwa kuogopa kuwa wataleta machafuko makwao, aliogopa kutokana na uzoefu wao wangeweza kuzipindua nchi na kuzichukua wao hivyo kuiweka "Israel" mashakani na mafuta kuwa mikononi mwa Mujahidin.

Hivyo Marekani akazishawishi Serikali zao kuwa wakiwaruhusu tu Mujahidin kurudi basi wajue kuwa watapinduliwa.

Walichofanya Serikali zao kwa msaada wa marekani ikawa ni wakati Mujahidi wakiondoka Afghanistan kupitia mpaka wa Pakistani hunyanganywa pasipoti zao, wengine walikuwa wakichukuliwa pasipoti zao Airport kabla ya kusafiri halafu wakienda katika balozi zao inakuwa "haiwezekani" kuthibitisha kama kweli wao ni raia.

Ukiachilia wale mmoja mmoja ambao ilikuwa haiwezekani kuwazuia kwa njia hii karibu mujahidin wote wakajikuta wamekwama Afghanistan! kiongozi wa Jihad Sheikh Abdullah Azzam aliyetangaza jihadi dhidi ya Wakomunist nae akauliwa kwa bomu na C I A! kwa nini walimuua mtu ambae hakuwa tishio kwao? haijulikani na wengi.

Last edited by a moderator:

For the first time in history the American public realised that they too like the people of Afghanistan, Iraq and Palestine were also vulnerable to enemy bomb attacks although from a different setting.

Ndio maana wengine tunasema huandiki historia bali histohia. Unapata wapi ujasiri wa kusema "for the first time"? Hujawahi kusikikia kuhusu Pearl Harbor? au unafikiri wale hawakuwa suicide bombers?
 
Ndugu yangu,

Hakuna swali ulilouliza direct kama marekani ni gaidi,

Ulichouliza ni vita vya iraq na afghanistan kama ni ugaidi wa marekani?

Ndiomana nikakwambia sio kisha nikaweka neno "lakini" baadhi ya matukio yanayotokana na operation hizo yanaangukia kwenye ugaidi

Huwezi kunielewa kwa sababu uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana. Ndio maana nakushauri acha kupoteza wakati wako kuandika mambo ambayo huna uwezo nayo kwani utajidhalilisha sana wewe na familia yako na utaanika ujinga wako milele kupitia kitabu hicho unachotaka kukitoa.
 
Kwa hili nalazimika kumtetea Al Akhiy Mohamed Said...hapana Achahasira, mtu kasota akifanya utafiti wa zaidi ya miaka 15 na kaandika vitabu, kwa nini usioneshe hata shukhrani kidogo kwa kununua angalau kakitabu japo kamoja. Yaani mtu mwingine ahangaike wee juani, wewe Achahasira unasubiri tu kula kivulini!

Pamoja na hayo, naomba niwatoe hofu wasomaji; kuhusu hoja ya Waislaam kuachana na Bakwata na kuunda chombo chao huru, mimi, ingawa si Muislaam, naunga mkono 100%. Hata hivyo hofu yangu ni kama watatokea Waislaam wasiokubaliana na hoja hii, tunaweza kujikuta tuko back to square one...kulaumu Mfumo Kristo.

Nasema hivyo kwa sababu nina hakika wapo Waislaam tena wengi tu wasiokubaliana na madai ya Mohamed Said na wanamwona kama mchochezi tu. Mathalani ninaye rafiki yangu Muislaam ambaye hataki kabisa hata kuchangia hii mada akidai itamkwaza bure kwani hawezi kuvumilia upotoshwaji na uchochezi ndani ya mada hii.

Anayeamini kuwa leo hii inawezekana kuundwa chombo kitakachokubalika kwa Waislaam wote nchini anajidanganya na hata kwa Wakristo hilo haliwezekani. Mohamed Said, Mashekhe Ilunga na Ponda wanao wafuasi si kidogo, sawa, lakini hivyo hivyo kuna maelfu kwa maelfu ya Waislaam wasiokubaliana nao hata chembe.

Kwani wakristo mna chombo kimoja tu kinachowaunganisha wakristo wote? Kila dhehebu si lina chombo chake pia?

Suala la msingi ni kwamba Waislamu nao wapewe haki ya kuanzisha vyombo vyao kadri watakavyoona inawafaa na vipewe usajili na Serikali bila mizengwe. Vyombo hivyo viruhusiwe kushirikiana na vyombo vinavyoshabihiana navyo dunia nzima kama ilivyo kwa vyombo vya kikristo bila mizengwe yoyote.

Haiwezekani wakristo wapewe haki hiyo halafu waislamu wanyimwe!!!!!!!!!
 
Zali la Mentali,
Huyu kijana anafanya mzaha katika mambo mambo mazito.

hapa chini maneno niliyowaeleza Waamerika katika mkutano Chuo Kikuu cha Ibadan

Hii inatoka katika mada niliyowasilisha Chuo Kikuu Cha Ibadan mwaka 2006 likiwa jibu kwa Balozi wa Marekani Robert Royall kutokana na mada yake aliyowasilisha Bungeni Dodoma.

Huenda maneno hayo hapo juu yakamsaidia kuelewa tatizo la ugaidi kwa mapana yake.

Nimesomq hapo nikajikuta nacheka peke yangu na kumkumbuka nguruvi3 kwamba mchochezi wewe ukishindwa oja huwa unaiibua tena kwa mlango wa nyuma ili tu isionekane ulishindwa shame on u!
 
Kwani wakristo mna chombo kimoja tu kinachowaunganisha wakristo wote? Kila dhehebu si lina chombo chake pia?

Suala la msingi ni kwamba Waislamu nao wapewe haki ya kuanzisha vyombo vyao kadri watakavyoona inawafaa na vipewe usajili na Serikali bila mizengwe. Vyombo hivyo viruhusiwe kushirikiana na vyombo vinavyoshabihiana navyo dunia nzima kama ilivyo kwa vyombo vya kikristo bila mizengwe yoyote.

Haiwezekani wakristo wapewe haki hiyo halafu waislamu wanyimwe!!!!!!!!!

chombo kipi hicho kinachowakilisha wasabato, mashahidi na wakatoliki? au unaongea kwa hisia?
 
chombo kipi hicho kinachowakilisha wasabato, mashahidi na wakatoliki? au unaongea kwa hisia?

Kuna vyombo vya kikatoliki, vyombo ya kiprotestanti, na madhebu mengine ya kikristo yana vyombo vyao ambavyo vina direct connection ya vyombo wanavyoshabihiana navyo dunia nzima. Vilevile kuna vyombo vinavyowaunganisha wakristo wote. Mifano michache tu ni hii hapa:

Christian Council of Tanzania; Tanzania Episcopal Conference (TEC); Catholic Relief Services (CRS); WAWATA; Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT); ECLOF Tanzania; etc
 
..mbona Seminari ya Kirinjiko, Mudio, Feza, etc zinafanya vizuri?

..kinachotakiwa kufanyika ni ku-replicate best practices za Kirinjiko.

..mnawa-distract vijana na haya mambo ya udini-udini.

..nimesoma watoto wanataka kuandamana kumuondoa Ndalichako!! sasa mwanafunzi mwenye mawazo hayo atakuwa na wa kujisomea??

..pia hili tatizo la elimu ni la kitaifa, mmeshafikiria kuunganisha nguvu na taasisi kama Haki Elimu na nyingine zinazopigania haki ya mtoto kupata elimu??

..sasa hivi viwango vya ufaulu vya Tanzania ni vya chini kulinganisha na majirani zetu, pamoja na nchi nyingine nyingi za Kiafrika. cc: gombesugu
Hizi unnecessary distraction ndizo tunazikataa.
The whole thing ni fabricated kwa ushahidi kuwa hapo mwanzo ilisemekana tatizo lilikuwa ni wizara kutokuwa na waziri mwislam, halafu likaja suala la katibu mkuu.Hivi karibuni tumesikia madai hakujawahi kuwa na kamishna wa elimu wizarani.

Kinachoshangaza ni kuwa NECTA mkuu wake anateuliwa na Rais kwa ushauri wa wizara na waziri.
Endapo yeye ni tatizo basi waulizwe wale waliomweka madarakani.
Sijui kama tatizo ni Ndalichako au ni mfumo mzima wa NECTA au wa Utawala unaohusika na teuzi za watu hao!

Kitendo cha kuchochea wanafunzi ni cha dhalili sana. Hawa vijana wengine ni form 1 hawajui hata mipaka wala utaratibu wa NECTA. Inasikitisha sana wanapojazwa fikra za uonevu badala ya kujazwa fikra za kujiamini, kufikiria maisha yao ya baadaye na nini wanapaswa kufanya siku za usoni.

Swali lisilo na majibu ni kuwa Kirinjiko wamefanya mtihani wa nchi gani na kwanini wao wasiapatwe na madhila yasemamwayo.

JokaKuu, kitu kimoja ambachoukifanya utafiti kidogo utakigundua ni kuwa wale wasiokubaliana na Mohamed ni watu wanaosimama na ukweli na weledi wao ni wa hali ya juu sana.Nafahamu kuwa wapo waislam wengi sana wasiokubaliana na dhana za akina Mohamed za chuki, fitna, uchochezi na upotoshaji. Wapo wengi wanakereka sana

Mathalani, ni mtu gani ambaye hatakereka kusoma data elimu za uonevu kama zilivyowekwa na Mohamed kuanzia mitihani ya darasa la saba hadi chuo kikuu. Mtu anayeweza kuliona tatizo lile hawezi kukubaliana na maudhui ya chochote kile kinachofuata.

Mtu aliyefuatilia mnakasha huu atafahamu kuwa kuna tatizo zaidi ya tatizo linalosemwa.

Kundi hili lisipoangaliwa litaendelea kupotosha umma! inasikitisha sana.

Mohamed Said Abdallah, wewe na wafuasi wako nendeni mkamuone Kawambwa na Kikwete mwelezani tatizo la NECTA.
Msitumie watoto wadogo kufikia malengo yenu yasiyokuwa na masilahi kwao siku za usoni.
Mnachoogopa kukabiliana na Kawambwa na JK ni nini hasa? Hao ndio wenye Mamlaka
 
Ndio maana wengine tunasema huandiki historia bali histohia. Unapata wapi ujasiri wa kusema "for the first time"? Hujawahi kusikikia kuhusu Pearl Harbor? au unafikiri wale hawakuwa suicide bombers?

Kichekesho katika mada hii ni kwamba,
Mzee wetu anasema ni yeye tu ndie anaejua historia ya Tanganyika na masuala ya ugaidi,

Watu wakimuhoji anawapa pepa zake alizoziwasilisha kule Ibadan Nigeria kuwa ndio simulizi za kweli za ugaidi!

Anasema wengine hawawezi kuandika chochote!
 
Lakini wakati walipokuwa wakipigana na Soviet Union walikuwa wakiitwa Freedom Fighters!
Ronald Reagan rais wa Marekani wa wakati huo alikuwa akiwatambua kama freedom fighters na aka-dedicate Columbia shuttle kwa Afghans freedom fighters.
Unafanya kilekile wanachokifanya Wamarekani! wakati wakipigana na Wakomunist walikuwa ni Freedom Fighters, Mujahidin lakini baada ya kumalizika vita na Soviet Union wakaitwa magaidi!

Na sababu ni kuwa baada ya Ukomunist kufa Marekani hakuwa na adui mwengine aliyebaki isipokuwa Uislamu! Usoshalist pia ulishajifia wenyewe kwa hiyo ni Uislamu tu ndio uliobakia kuwa kikwazo kwao.Hakuna waliokuwa wakitafutwa na Serikali zao! fanya utafiti zaidi.
Kilichotokea ni baada ya Jihad Sheikh Abdullah Azzam aliwatangazia Mujahidin wote waliopo Afghanistan warudi makwao na kuendelea kuishi maisha ya kawaida uraiani.

Marekani kwa upande wake hakupendelea kuwaona wakirudi makwao kwa kuogopa kuwa wataleta machafuko makwao, aliogopa kutokana na uzoefu wao wangeweza kuzipindua nchi na kuzichukua wao hivyo kuiweka "Israel" mashakani na mafuta kuwa mikononi mwa Mujahidin.

Hivyo Marekani akazishawishi Serikali zao kuwa wakiwaruhusu tu Mujahidin kurudi basi wajue kuwa watapinduliwa.

Walichofanya Serikali zao kwa msaada wa marekani ikawa ni wakati Mujahidi wakiondoka Afghanistan kupitia mpaka wa Pakistani hunyanganywa pasipoti zao, wengine walikuwa wakichukuliwa pasipoti zao Airport kabla ya kusafiri halafu wakienda katika balozi zao inakuwa "haiwezekani" kuthibitisha kama kweli wao ni raia.

Ukiachilia wale mmoja mmoja ambao ilikuwa haiwezekani kuwazuia kwa njia hii karibu mujahidin wote wakajikuta wamekwama Afghanistan! kiongozi wa Jihad Sheikh Abdullah Azzam aliyetangaza jihadi dhidi ya Wakomunist nae akauliwa kwa bomu na C I A! kwa nini walimuua mtu ambae hakuwa tishio kwao? haijulikani na wengi.

Nilichokifanya mimi ni kuieleza CIA na vitengo vyake na muundo wavyo,

Vivyo hivyo nimeeleza majukumu yake wa taifa la USA!
 
Last edited by a moderator:
Kuna vyombo vya kikatoliki, vyombo ya kiprotestanti, na madhebu mengine ya kikristo yana vyombo vyao ambavyo vina direct connection ya vyombo wanavyoshabihiana navyo dunia nzima. Vilevile kuna vyombo vinavyowaunganisha wakristo wote. Mifano michache tu ni hii hapa:

Christian Council of Tanzania; Tanzania Episcopal Conference (TEC); Catholic Relief Services (CRS); WAWATA; Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT); ECLOF Tanzania; etc

Haka katabia kakulialia kanawafanya wapumbavu wachache tu ndani ya uislama mudharirishe uislamu!

Hivi ukiulizwa kuwa serikali ikitaka kuzungumza na wakristu hutumia chombo kipi kati ya ulivyovitaja hapo juu?

Je vyombo hivyo ili viwe hai vimesajiliwa na serikali kama unavyolia kuwa na nyinyi mruhusiwe kuwa na vyombo vyenu tena visajiliwe na serikali?

Watanzania tanaangamia kwakukosa maarifa!
 
Kichekesho katika mada hii ni kwamba,
Mzee wetu anasema ni yeye tu ndie anaejua historia ya Tanganyika na masuala ya ugaidi,

Watu wakimuhoji anawapa pepa zake alizoziwasilisha kule Ibadan Nigeria kuwa ndio simulizi za kweli za ugaidi!

Anasema wengine hawawezi kuandika chochote!

Jason Bourne,
Hapana sijasema popote kuwa mimi ndiye nijuaye historia ya Tanganyika.

Mimi naijua historia ya TANU kwa kiasi changu kwa kuwa wazee wangu ndiyo
walikiasisi hicho chama na wakawanacho muda wote wa kupigania uhuru na
kwa hakika historia hiyo ni ndefu.

Historia hiyo nimeiandikia kitabu na mengine nimeyaeleza hapa JF.

Na mara kadhaa nimesema ikiwa kuna mtu au watu wanayo historia ya uhuru
basi watuwekee hapa tusome.

Kuhusu ugaidi na mimi kuweka paper niliyowasilisha sijui wewe ungetaka nifanyeje.

Nimeweka hiyo paper kudhihirisha kuwa hili somo nalifahamu na nimewasilisha mada
kuhusu ugaidi kwenye mawanda ya kimataifa.

Ikiwa kwangu mimi kufanya hivyo wewe kumekukera basi hii ni bahati mbaya.

Mwisho sijasema wengine hawawezi kuandika chochote.
Hili si kweli hata kidogo,
 
Back
Top Bottom