Uchochezi wa mataifa ya magharibi kwenye migogoro ya afrika wadau mnalionaje hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchochezi wa mataifa ya magharibi kwenye migogoro ya afrika wadau mnalionaje hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maganga Mkweli, Feb 25, 2011.

 1. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  NDIO COMRADE Muammar Gaddafi ANA MAKOSA sana KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE LAKINI TUANGALIE NA HUU UCHOCHEZI WA MATAIFA YA MAGHARIBI, TUNAUNGALIA KWA KINA AU NDO USHABIKI TU. KWA KWELI POLITICALLY I HATE WESTERN COUNTRIES NA KWA FACT CHACHE NILIZONAZO(TIZAMENI VYOMBO VYA HABARI VYA MAGHARIBI) HAWA NDIO SOURCE YA PROBLEM NYINGI ZA AFRIKA KWA UROHO WAO WA UTAJIRI WA AFRIKA...
  HASAHASA HILI LA POLITICAL INSTABILITY NA NDIO WANAO WANAPA VIBURI MAJORITY YA VIONGOZI WA AFRIKA WANAONG'ANANIA MADARAKA WA KIONA ANAENDA KINYUME NAO WANAMGEUKA NAKUSABABISHA MACHAFUKO .
  ACHANA NA MAPINDUZI YA MISR NA TUNISIA LAKINI ANGALIA CIVIL WAR NYINGI AFRIKA.
  NI MTAZAMO WANGU
   
Loading...