Transparence
Member
- Sep 23, 2016
- 22
- 13
Kwa karibu dakika 10 leo hii nimekuwa nikiangalia mtoa mada start Tv akichambua utawala wa Roma Catholic (upapa na upadri)kwa kupotosha !
1. Je anafanya huu upotoshaji kwa maslahi ya nani?
2. Je start Tv haijui watazamaji wake ni wa madhebu na imani mbalimbali na itakuwa inawagawa?
3. Kanisa na waumini wakiamua kureact si itahatarisha amani ya nchi?
4. Kama ilikuwa lazima mada hiyo kutolea kwa nini wa upande wa pili wasingealikwa just to balance the story and information?
Kipindi bado kinaendelea hata sasa hivi kwa anayetaka kujionea!