Uchochezi: Msumbiji yawakamata wahadhiri wa kiislamu kutoka Tanzania

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Walikwenda huko kutoa mihadhara mbalimbali wakieneza dini ya haki nchini msumbiji lakini serkal ya msumbiji imewakamta kwa kosa la uchochezi.

Serkali ya msumbiji kwa sasa inakabiliana na tatizo la ugaidi hasa maeneo ya mpakani na Tanzania ambapo mwezi October kulikuwa na mkutano baina ya IGP wa Tanzania na yule wa msumbiji kuhusu hali tete katika mpaka huo ambapo baadhi ya vyombo vya habari vya msumbiji viliandika kuwa wanaoendesha ugaidi nchini humo ni wageni wanaotoka kusini na pwani ya Tanzania.

Mwezi November mkuu wa majeshi wa Tanzania Tanzania pia alilitembelea eneo hilo na kuwahakikishia usalama wananchi wanaoishi maeneo hayo.

Serakali ya msumbiji na Tanzania ipo katoka hali ya taadhari eneo hilo ambapo watu kadhaa wameuwa na baadhi kushikiriwa

Katika page ya Facebook ya shekhe Twarib swahaba ametaja kupotea kwa mashekhe wenzake wanadaiwa kuwa msumbiji kikazi na kuomba serkali ya Tanzania kumsaidia warudishwe hapa nchini

State agent
FB_IMG_1572859960403.jpeg
 
Dini ya haki ndo dini ipi mkuu? unamaanisha dini zingine si za haki siyo? Mkiambiwa mmejaa chuki na mapokeo yenu mnalalama.
 
Ukiacha wa katikati mbona hao wengine wanaonekana kama wale jamaa wa naniliu. Ila kwa kuwa wametambuliwa na taasisi maalum wataachiwa tu. Inshaallah tuwaombee subra
Mbona kilemba alivaa hata Mkwawa na hatusemi alikuwa nanilu.
 
Nadhani chamsingi nakusubilia taarifa ya serikali ya msumbiji,kuendelea kubishana hapa na kutoleana lugha za kibaguzi ni utotot
 
Hao ni magaidi kabisa tena wanapanga kuja Kushambulia. Wameanza kuchukua vijana Mtwara halafu wakawafundishe ugaidi. Serikali kakamate hao changanya na wale wa uamsho.
 
Back
Top Bottom