Uchimbaji wa Madini ya Nikel utainufaisha Tanzania au ndio tutaishia kupigwa

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Nchi zinazoongoza ku export madini haya na pato lake Russia 3.02 bilions US dola kwa mwaka
Canada 2.77
United States of America2.22
Germany1.47
Norway1.25
UK 1.1
Finland1.02
Zimbabwe0.99
Japan0.92
Indonesia0.81
Netherlands0.71
France0.69
China0.55
Papua New Guinea0.46
Philippines0.41
Belgium0.4
Austria0.38
Australia0.34
New Caledonia0.34
Italy0.31
 
Yaliyopo Tanzania ni mengi mno hata hao warusi watasubiri sana,yatasaidia kutulipia mamikopo.
 
Tanzanite tuna zaidi ya Tani Milioni moja ipo chini.. badala ya kuleta wawekezaji wenye nguvu wachimbe, tunakalia ujinga tu. Hata hii nickel itaishia kuwa story tu
 
Kwa aina ya serikaki tuliyonayo (ya ccm), naamini tutapigwa tu kama tunavyo pigwa kwenye gesi.
 
Nchi zinazoongoza ku export madini haya na pato lake Russia 3.02 bilions US dola kwa mwaka
Canada 2.77
United States of America2.22
Germany1.47
Norway1.25
UK 1.1
Finland1.02
Zimbabwe0.99
Japan0.92
Indonesia0.81
Netherlands0.71
France0.69
China0.55
Papua New Guinea0.46
Philippines0.41
Belgium0.4
Austria0.38
Australia0.34
New Caledonia0.34
Italy0.31
Tutanufaika na madini yetu siku tutakapokuwa na viongozi waadilifu na wenye akili timamu.
 
Back
Top Bottom