Uchimbaji wa madini; Natafuta kampuni ya kuingia nayo ubia

Wengi wenye maeneo ya machimbo hawana hela
Kweli,Nlikuwa sehemu moja Morogoro panaitwa unyinywe kuna dhahabu sana,watu wanapata grm 1 Mpk 4 laiti wangwrzeshwa jamaa wangekuwa wanatoa gold ya kufa mtu huko....alafu dhahabu ya huko ina 98% mazee

Ova
 
Mkuu naomba kujua survey/utafiti mliofanya ni upii mkuu,geochemical,geophysical survey & drilling ....kama una data hzo ni vyema kufahamisha watu kuwa una data kadhaa na kadhaa,kuwa na vitalu is not a big deal ,issue ni kuhusu size ya deposit,gold concentration(ppm) roughly ,shape ya deposit,groundwater,geotechnical issue..am very sorry kama ntakukwaza mkuu ila is better kuweka mambo wazi kidgo kitaaluma kuvutia wawekezaji,....goodluck

Mkuu umeongea kitu cha maana.. elimu yako imekukomboa
 
Mkuu naomba kujua survey/utafiti mliofanya ni upii mkuu,geochemical,geophysical survey & drilling ....kama una data hzo ni vyema kufahamisha watu kuwa una data kadhaa na kadhaa,kuwa na vitalu is not a big deal ,issue ni kuhusu size ya deposit,gold concentration(ppm) roughly ,shape ya deposit,groundwater,geotechnical issue..am very sorry kama ntakukwaza mkuu ila is better kuweka mambo wazi kidgo kitaaluma kuvutia wawekezaji,....goodluck
Data zipo, tulifanya geophysical survey, na geochemical drillings ambayo ilifanywa na kampuni kubwa na data tukazipata kwa dili na watalaam wa kampuni hiyo.
Mzigo upo, mpaka sasa tunazalisha katoka small scale kwa sababu hatuna facilities,
Na hata ukibahatika kututembelea Leo utakuta shughuli zjnaendelea, lakini ni duni kwa sababu hatuna facilities
 
Aisee uko Sawa,wadau Sisi tuna mgodi tunauza upo Iringa,ekari 100,Una lesen na geological report bei Billion 5
Kwenye biashara ya bia mwenye empty crate, viti na meza tayari anayo bar, ukae ukilijuwa hili.

Hivyo basi kwenye mambo ya madini mtu mwenye hivyo vifaa ni zaidi ya huo mgodi wako.

Sijui kama unanielewa.

Rostam Aziz hajawekeza kwenye migodi bali amewekeza kwenye equipment za migodini na yeye ndio mkodishaji mkubwa wa vifaa hivyo migodini kupitia kampuni lake la Caspian.

Ushauri wangu ni kwamba tafuta wawekezaji wa kuwauzia hiyo migodi wafanye kazi.

Nawachukia sana watu wa aina yako ni kero kubwa sana Tanzania kila sehemu mnaleta kiwingu kuziba fursa kwa watu wenye uwezo wa kufanya mambo kwa tamaa zenu ya cha juu.

Hilo ndilo limetokea hadi kwenye viwanja, mtu anahodhi viwanja kujenga hawezi unatuwekea mapori na nyoka tu.

Wazembe na wasiokuwa na akili watakupongeza kwa kukuona una akili kumbe ni matope tu.

By the way hayo maeneo utakuja kunyang'anywa na serikali kwa sababu utashindwa kulipia leseni ya Primary minning licence. Utashindwa kulipia kwa sababu hakuna utakachopata hapo.

Nikupe tip tu ili uelewe, Escaveta moja kwa masaa 8 linakodishwa kwa laki 8 na opareta unalimpa elfu 50 kwa hayo masaa, diesel lita 200 na usafiri wa kulileta site na siku ya kurirudisha lilipotoka ni juu yako pia.

Sasa hapa jibu unalo, hayo mashamba uliuziwa bei gani? Ambayo leo unayaita migodi.
Screenshot_20200930-220212.jpeg
 
Back
Top Bottom