Uchimbaji wa madini; Natafuta kampuni ya kuingia nayo ubia

GreenStone

Senior Member
Apr 27, 2015
150
225
habari zenu wana jamwi,

mimi ni mchimbaji mdogo ninayechimba dhahabu katika mkoa wa Geita, nimefanikiwa kupata vitalu sita (6) vya uchimbaji wa dhahabu vyenye ukubwa wa jumla ya heka 147.
nimepungukiwa vifaa vya uchimbaji ambavyo ni
1. excavator
2. bulldozer
3.air compressor( for blasting)
4. waterpump
vifaa vingine vya sehemu ya kuchenjulia dhahabu ninavyo,

hivyo basi nahitaji mtu au kampuni ambayo nitaingia nayo ubia wa kufanya kazi pamoja.
Ndugu wana jf kwa yeyote ambaye ana vifaa hivi au anaweza kuvipata vifaa hivi, tuwasiliane.

NB: Documents za uthibitisho nitaweza kuziweka wazi kwa yule atakayekuwa na utayari wa kufanya kazi na mimi. na tutaweka mkataba wa kisheria kuhakikisha usalama wa uwekezaji wake.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
57,606
2,000

Ukitaka aircompressor tuwasiliane nkupatie mashine bora ikatayo kufaa kwenye kazi yako

Ova
 
Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
2,251
2,000
SAFI SANA KIJANA..TUMATAKA VIJANA WENYE AKILI KUBWA KAMA HII SIYO KILA SIKU TUNALIA VYUMA KUKAZA

habari zenu wana jamwi,

mimi ni mchimbaji mdogo ninayechimba dhahabu katika mkoa wa Geita, nimefanikiwa kupata vitalu sita (6) vya uchimbaji wa dhahabu vyenye ukubwa wa jumla ya heka 147.
nimepungukiwa vifaa vya uchimbaji ambavyo ni
1. excavator
2. bulldozer
3.air compressor( for blasting)
4. waterpump
vifaa vingine vya sehemu ya kuchenjulia dhahabu ninavyo,

hivyo basi nahitaji mtu au kampuni ambayo nitaingia nayo ubia wa kufanya kazi pamoja.
Ndugu wana jf kwa yeyote ambaye ana vifaa hivi au anaweza kuvipata vifaa hivi, tuwasiliane.

NB: Documents za uthibitisho nitaweza kuziweka wazi kwa yule atakayekuwa na utayari wa kufanya kazi na mimi. na tutaweka mkataba wa kisheria kuhakikisha usalama wa uwekezaji wake.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
57,606
2,000
inawezekana, hata hivyo huyo atakayekuja na vifaa ndo mtaji wake wa kumfanya nimpatie hisa, kwahiyo kaka organize vifaa,
pia wewe unaweza kuniletea mdau mwenye vifaa, wewe nitakupa hisa kama middle men wa kufanikisha mpango
Mkishajipanga ntafuteni niwauzieni compressor Aina compair..spec zke ni 3 piston,oiled cooled disel engine,35.5kw,pressure 8bar ...
From Uk bei 14mln

Ova
 
SODIUM CYANIDE

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
680
1,000
Eneo lipo geita sehemu gani? Nyarugusu, mgusu, rwamgasa, msasa, matabe, nyamahuna, masumbwe,......
 
SODIUM CYANIDE

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
680
1,000
Details natoa kwa mtu aliye tayari kuwekeza mkuu,
Kila la kheri mkuu lakini kumbuka hizi inshu ni pasua kichwa sana.
Ukienda msasa hivyo vifaa vipo kwa kina Pascal au Wachina Nyamtondo/Nyamahuna au Baraka Busolwa hebu cheki nao hao labda utafanikisha.
Humu wengi sio wenyeji na hizo inshu hivyo inaweza ikawa ngumu kupata msaada wa haraka. Pengine wanaogopa kuingia kwenye uwekezaji ambao hawana uzoefu nao.
 
jol

Member
Apr 10, 2017
31
95
inawezekana, hata hivyo huyo atakayekuja na vifaa ndo mtaji wake wa kumfanya nimpatie hisa, kwahiyo kaka organize vifaa,
pia wewe unaweza kuniletea mdau mwenye vifaa, wewe nitakupa hisa kama middle men wa kufanikisha mpango
WhatsApp contact pls
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,964
2,000
habari zenu wana jamwi,

mimi ni mchimbaji mdogo ninayechimba dhahabu katika mkoa wa Geita, nimefanikiwa kupata vitalu sita (6) vya uchimbaji wa dhahabu vyenye ukubwa wa jumla ya heka 147.
nimepungukiwa vifaa vya uchimbaji ambavyo ni
1. excavator
2. bulldozer
3.air compressor( for blasting)
4. waterpump
vifaa vingine vya sehemu ya kuchenjulia dhahabu ninavyo,

hivyo basi nahitaji mtu au kampuni ambayo nitaingia nayo ubia wa kufanya kazi pamoja.
Ndugu wana jf kwa yeyote ambaye ana vifaa hivi au anaweza kuvipata vifaa hivi, tuwasiliane.

NB: Documents za uthibitisho nitaweza kuziweka wazi kwa yule atakayekuwa na utayari wa kufanya kazi na mimi. na tutaweka mkataba wa kisheria kuhakikisha usalama wa uwekezaji wake.
Kwenye biashara ya bia mwenye empty crate, viti na meza tayari anayo bar, ukae ukilijuwa hili.

Hivyo basi kwenye mambo ya madini mtu mwenye hivyo vifaa ni zaidi ya huo mgodi wako.

Sijui kama unanielewa.

Rostam Aziz hajawekeza kwenye migodi bali amewekeza kwenye equipment za migodini na yeye ndio mkodishaji mkubwa wa vifaa hivyo migodini kupitia kampuni lake la Caspian.

Ushauri wangu ni kwamba tafuta wawekezaji wa kuwauzia hiyo migodi wafanye kazi.

Nawachukia sana watu wa aina yako ni kero kubwa sana Tanzania kila sehemu mnaleta kiwingu kuziba fursa kwa watu wenye uwezo wa kufanya mambo kwa tamaa zenu ya cha juu.

Hilo ndilo limetokea hadi kwenye viwanja, mtu anahodhi viwanja kujenga hawezi unatuwekea mapori na nyoka tu.

Wazembe na wasiokuwa na akili watakupongeza kwa kukuona una akili kumbe ni matope tu.

By the way hayo maeneo utakuja kunyang'anywa na serikali kwa sababu utashindwa kulipia leseni ya Primary minning licence. Utashindwa kulipia kwa sababu hakuna utakachopata hapo.

Nikupe tip tu ili uelewe, Escaveta moja kwa masaa 8 linakodishwa kwa laki 8 na opareta unalimpa elfu 50 kwa hayo masaa, diesel lita 200 na usafiri wa kulileta site na siku ya kurirudisha lilipotoka ni juu yako pia.

Sasa hapa jibu unalo, hayo mashamba uliuziwa bei gani? Ambayo leo unayaita migodi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom