Uchi au kutokuvaa Nguo

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,558
Members,
Sijui ni mimi mwenyewe nakerwa na haya mambo au kuna wenzangu pia mnakereka.

Juzi Ijumaa Jioni Kuna rafiki yangu mmoja amekuja kunitembelea na kunisihi angalau Tutoke twende club ''klabu'' as alikua so strssed in that week angalau apunguze stress kidogo. Binafsi sina tabia ya kwenda club. so nikamkubalia kwa makubaliano ange take all the cost associated with the event.

Tukacahgua kwenda maisha Club, kule VIP section. Niliyokutana nayo sitakuja kusahau maishani mwangu. yaani kuna stage maalum ya mtu mmoja kucheza akiwa uchi amba wadada walikua wanapokezana kucheza kwenye hiyo stage with only their G-string like pants on.

Hii tabia sio hapa maisha Club tu, kuna Mabar mengi wanakua na mtindo wa kucheza uchi usiku.

Kama serikali inajua hili na inalifumbia Macho Basi we are done.
 
Usiyependa hayo mambo huwezi kwenda huko na ndio maana nao hawachezi hadharani, ukienda huko then you are up to the level
 
Wewe nawe embu tuliza ball, jiji limekwisha hili, sehemu za maana zimebaki chache tu na wewe ukiweka bango huku hzikawii kufungiwa!!!!

We kama hupendi THE NASTY basi ungeingia Maisha section ya Changanyikeni ukajiachia na kina Dj Ally, baaaaaaaass!!! Sehemu ukisikia ya WAKUBWA ujue mambo mazito huko!

Club Lion sijui bado iko wazi au imefungiwa manake nayo ilikuwa NOMERRRRRRRR!!!!!!
 
Me nahis kila m2 anachagua anachokipenda so kama kwako hakikufai wengine wanapenda.
 
wapi The Boss na Nyani Ngabu
ahahahhahhahahah pana chezeya mwanadamu na starehe yake bana!

mastripperz zi mlijuaga ni wazungu tuuu!
wehu wa lap dances na pole dances si zamani tulikuwa twaziona kweny matv na mpka sasa watu wengine bado wanaamini ni uzungu!sasa hawa je?
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwaje ukaingia maeneo yetu.? Inaelekea hao wavaa utupu walikushangaa Gauni la kanisan umekujaje nalo Club?
 
Haya Kesho naenda kuifunga iyo sehemu, nitajie na sehemu zingine nikazishughulikie haraka iwezekanavyo, aiwezekani bwanaaaa mchizi wangu uteseke..

Members,
Sijui ni mimi mwenyewe nakerwa na haya mambo au kuna wenzangu pia mnakereka.

Juzi Ijumaa Jioni Kuna rafiki yangu mmoja amekuja kunitembelea na kunisihi angalau Tutoke twende club ''klabu'' as alikua so strssed in that week angalau apunguze stress kidogo. Binafsi sina tabia ya kwenda club. so nikamkubalia kwa makubaliano ange take all the cost associated with the event.

Tukacahgua kwenda maisha Club, kule VIP section. Niliyokutana nayo sitakuja kusahau maishani mwangu. yaani kuna stage maalum ya mtu mmoja kucheza akiwa uchi amba wadada walikua wanapokezana kucheza kwenye hiyo stage with only their G-string like pants on.

Hii tabia sio hapa maisha Club tu, kuna Mabar mengi wanakua na mtindo wa kucheza uchi usiku.

Kama serikali inajua hili na inalifumbia Macho Basi we are done.
 
dah!! kumbe bongo ipo hiyo....vipi ukinogewa waweza jikamatia uende kugegeda?
 
MLACHAKE; Siwatetei, lakin wee unafaham sheria za nchi zinasemaje kwenye uendeshaji wa club.?? Walikuwepo watoto hapo, <18?? Unalionaje swala serikali kuruhusu Pombe na sigara kwenye jamii yake huku ikitambua madhara yake?? Unadhan kwanin serikal inategemea kodi kutoka huko zaid??
 
Haya Kesho naenda kuifunga iyo sehemu, nitajie na sehemu zingine nikazishughulikie haraka iwezekanavyo, aiwezekani bwanaaaa mchizi wangu uteseke..

USTADHI :hail::hail:NJOO NA DODOMA ipo Maisha Club,:msela: Club 84, :msela:N.K. :msela:nk mwenzako wa Star tv hakuamini alijua ni wanaCHUO sasa yatakayokupata :peace:tutakusaidia mlango wa kutokea maana vyumba vya malazi hakuna ndio maana panaitwa Night Club asubuhi ugeuze na Basi la kwanza
 
Nlikuwa cjuagi, kumbe bongo 2meendelea khivyo! Huko kwa wakubwa ni bei gn mazee?
 
wapi The Boss na Nyani Ngabu
ahahahhahhahahah pana chezeya mwanadamu na starehe yake bana!

mastripperz zi mlijuaga ni wazungu tuuu!
wehu wa lap dances na pole dances si zamani tulikuwa twaziona kweny matv na mpka sasa watu wengine bado wanaamini ni uzungu!sasa hawa je?

Ukiishi mjini,kubali ya mjini
hutaki lala nyumbani kwako...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom