Ucheleweshwaji wa mishaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ucheleweshwaji wa mishaha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzee wa inshu, Feb 2, 2011.

 1. m

  mzee wa inshu Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Serikali kuchelewesha mishahara ya watumishi wake mwezi huu Tatizo liko wapi?

  Mbona wahusika wamekuwa bubu?

  Enway, tunafahamu kuwa wao hawaishi kwa kutegemea mshahara katika nchi hii ya kifisad
  i
  kwani wao hujichotea kodi za walala hoi na kujaza matumbo yao bila kujali taabu za watu

  wanao kamuliwa kodi hizo.  Serikali tumieni akili , au mpaka maandamano? Mbona malipo ya DOWANS mnakazania kulipa fasta? Je, DOWANS ni muhimu kuliko wananchi ambao ndo waajiri wenu?
   
 2. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hebu tujuze zaidi ni idara gani hamjalipwa mshahara?
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  hivi ni kweli mwezi huu mishahara imechelewa?, mbona wengine imeshaingia?, umeuliza kitengo cha mishahara(ktk eneo lako la kazi) na wakakuambia kuwa mishahara ya nchi nzima itachelewa?
   
 4. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mtakoma mwaka huu mi sipo kabisaaaa
   
Loading...