Ucheleweshaji matokeo ya uchaguzi 2010 - mkuu wa it afukuzwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ucheleweshaji matokeo ya uchaguzi 2010 - mkuu wa it afukuzwe

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TanzActive, Nov 2, 2010.

 1. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii system inayotumika , inaleta shida

  huyu mkuu wa IT hakufanya kazi yake vizuri

  Napendekeza afukuzwe kazi mara moja
   
 2. k

  kilimajoy Senior Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  IT hapo haina kasoro, ni hawa jamaa wanataka kuchakachua sasa wanachelewesha makusudi...Mbona kwenye majimbo wanayojua CCM wanashinda moja kwa moja huko kucheleweshwa hakupo??? Mmesikia sababu za Segerea eti wamechanganya makaratasi ya ku record data, sasa hiyo ni IT au ndio wanataka kuchakachua kijanja???
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sio kufukuzwa bali apelekwe jela
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Poor Makongoro Mahanga!
   
Loading...