Uchebe: Nimefurahi Zuwena kukubali kunizalia, namuomba aendelee kuchapa kazi tusikose hela ya kula

hahahaa nyinyi mmeona hiyo tu
yakumwambia demu wake apige kazi wasikose hela yakula ..??

iliyonishangaza mimi nihiyo ..kupost kuwa alim'mbeleza sana mkewake asitoe mimba hahaa daahh (hana kauli kwamkew )

halafu kumbe swala lakutoa mimba soa kosa tena kwa nchi yetu ..yaani how waanza kuongea upuuzi kama huo ambao haupaswi kusikilzwa na Jamii kuwa huwa wanatoaga mimba !!..
yaani hili nisuala lakuwekeza wazi kweli
period
 
Wanaume wa dar em muwateke wanaume wote wa mikoani mana watawapanda kichwanii hahah loh.
 
KUNA account nyingi sana instagram zenye majina ya uchebe ila .... account yake yeye ni uchebe1...

SIO HIYO
 
Dume bwege hili. .hana hata aibu. Saa ingine hata hiyo mahari uenda bibie ndiyo kajitolea.
 
Mnalalamika watu wanawaonea oneni sasa nini hiki!? Kweli kidume anamwambia mkewe ahustle kwa bidii ili wasije kosa hela!? You hoes ain't loyal kabisa!

Oneni akili za wanaume wa Dar!





f8936a7395f4afd29873fea113f3263a.jpg

Hii account Shilole alishaikana kua sio ya Mume wake,
Ya Uchebe ni Uchebe1
 
JamiiForums nani amewapa permission ya kubadilisha heading ya thread yangu!? Mnajua nimeumiza kichwa kiasi gani mpaka kufikia conclusion ya kutumia heading mliyoedit? Si sawa kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom