Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,503
- 217,762
Habari zaidi zitafuata
sasa nyinyi si mlisema hana uwezo jamani !Hata zisije hizo habari zaidi
Ni kweli Simba ilikuwa inampa mshahara mkubwa kutoka kwenye fungu la CAF la ligi ya mabingwa , na ndio maana walipotolewa kwenye hatua ya makundi ikabidi afukuzwe kwa vile hakukuwa na hela za kumlipa .Mbona kapauka sana,ama kweli Simba ni timu ya neema.
Mkuu kwaiyo ata wachezaji wanalipwa na izo hela za club bingwa? Za usajili jeNi kweli Simba ilikuwa inampa mshahara mkubwa kutoka kwenye fungu la CAF la ligi ya mabingwa , na ndio maana walipotolewa kwenye hatua ya makundi ikabidi afukuzwe kwa vile hakukuwa na hela za kumlipa .
Mo hajawahi kutumia hela yake kuihudumia Simba
Unajua kiasi cha pesa kinachoingizwa na simba au Yanga ?Mkuu kwaiyo ata wachezaji wanalipwa na izo hela za club bingwa? Za usajili je
Izi timu zetu ni choka mbaya GSM na Mo waheshimiwe ata kidogo
Ukweli mchungu. ....Ni kweli Simba ilikuwa inampa mshahara mkubwa kutoka kwenye fungu la CAF la ligi ya mabingwa , na ndio maana walipotolewa kwenye hatua ya makundi ikabidi afukuzwe kwa vile hakukuwa na hela za kumlipa .
Mo hajawahi kutumia hela yake kuihudumia Simba
Kwa hayo mapato ya mlangoni? Au sportpesaUnajua kiasi cha pesa kinachoingizwa na simba au Yanga ?
pamoja na matangazo ya biasharaKwa hayo mapato ya mlangoni? Au sportpesa
Ongera umejitahidi.Ni kweli Simba ilikuwa inampa mshahara mkubwa kutoka kwenye fungu la CAF la ligi ya mabingwa , na ndio maana walipotolewa kwenye hatua ya makundi ikabidi afukuzwe kwa vile hakukuwa na hela za kumlipa .
Mo hajawahi kutumia hela yake kuihudumia Simba
kiasi kipi unachokitakandugu mleta ebu dadavua kiasi hicho pesa ni tsh ngap?