Uchebe akikubali kufundisha timu mbovu ya Yanga nitashangaa sana!

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,561
217,865
Taarifa za chini kwa chini zinadokeza kwamba Timu mbovu ya Yanga imewasiliana na AFC Leopard ya Kenya kwa lengo la kumnunua kocha wake Patrick Ausem, kocha aliyewahi kuifundisha Simba ya DSM kwa mafanikio ili kuziba pengo la Kaze aliyetimuliwa.

Kiukweli ikiwa kama Uchebe anataka kudhalilika basi athubutu kukubali kujiunga na Yanga, kwanza nitamshangaa!
 
Ndipo nitaona wazungu nao ni utopolo tu kama alivyo Senzo. Kufundisha timu kama yanga yenye mashabiki mazombie wasiojielewa,lazima nawe uwe chenga kidogo.

Angalia mwenyekiti wao, ni msomi lakini anafanya mambo ya kitoto sana kudanganya umma simu imehakiwa. Angalia makamu wa mwenyekiti anavyoibuka na press conference kila Morrison akifunga. Ujajiuliza hivi hawa jamaa na washabiki wao hawaponi tu huu ugonjwa wa utopolo?
 
Kumbe ndiye anayefaa
 
"Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu"-Rage
 
Taarifa za chini kwa chini zinadokeza kwamba Timu mbovu ya Yanga imewasiliana na AFC Leopard ya Kenya kwa lengo la kumnunua kocha wake Patrick Ausem, kocha aliyewahi kuifundisha Simba ya DSM kwa mafanikio ili kuziba pengo la Kaze aliyetimuliwa.

Kiukweli ikiwa kama Uchebe anataka kudhalilika basi athubutu kukubali kujiunga na Yanga, kwanza nitamshangaa!
We babe usimba unakufanya zuzu, kocha yupo kwa ajili ya kufundisha mpira, Kama Yanga mbovu, basi Kama atakuja uchebe akaifanya iwe imara basi huyo ni kocha bora. Au unamhofia uchebe kuja jangwani? Relax endelea kunywa mchuzi, nyama ziko chini.
 
Wanaweza kumlipa maana uchebe anakaa hotelini halafu mshahara wake si.mchezomchezo tatizo wanataka kujilinganisha na next level wakati uwezo mdogo
 
Taarifa za chini kwa chini zinadokeza kwamba Timu mbovu ya Yanga imewasiliana na AFC Leopard ya Kenya kwa lengo la kumnunua kocha wake Patrick Ausem, kocha aliyewahi kuifundisha Simba ya DSM kwa mafanikio ili kuziba pengo la Kaze aliyetimuliwa.

Kiukweli ikiwa kama Uchebe anataka kudhalilika basi athubutu kukubali kujiunga na Yanga, kwanza nitamshangaa!
Huo ni woga, baada ya sare na prisons. Kama sare hii ingetokea kabla ya mechi wa Yanga na Polisi kuchezwa huenda Kaze asingefukuzwa Yanga. Na huenda sare hii ya Simba dhidi ya Prisons huenda ikamrudisha Kaze kikosini. Ki ukweli kaze sio kocha mbaya, ni hamaki tu za viongozi kuimba nyimbo za mashabiki nje ya uwanja. Eti shabiki wawili watatu wanalia na kutishia kutokwenda uwanjani tena na viongozi kusahau kuwa Yanga ina watu wengi sana nyuma yake
 
Hivi Mbumbumbu/Mikia/Bodaboda mna matatizo gani mbona mnarukia sana mambo ya Yanga Haijatangazwa popote kwamba Patrick Ausem ataifundisha Yanga (ni official statement from Yanga)tayari mmerukia kwamba asikubali kuifundisha timu mbovu mbona alikubali kuifundisha timu mbovu ya simba? Kama kocha wa maana atapenda kuipandisha timu mbovu ili iwe timu imara siku zingine oneni aibu kurukia mambo ya Yanga ambayo ina wenyewe
 
Wajukuu wangu watakuja kuniona mimi ni muongo sana nikija kuwaambia Simba ilio shangilia sare jana kwa Prison ambao walikuwa pungufu ndio Simba iliyomfunga Al Ahly!!
 
Wajukuu wako watakuona muongo kwa sababu watakuwa washabiki wa simba na kipindi hicho simba itakuwa inashiriki klabu bingwa ya dunia huku upotolo ikiwa daraja la nne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom