Uchawi

ikyenja

Senior Member
May 28, 2013
103
52
Amani na heshima kwenu wapendwa.

Mimi ni kijana, ni muumini mzuri wa Uchawi yaani naamini Uchawi upo.

Cha kusikitisha ni kwamba mimi mwenyewe sio mchawi wala sijui unafanyika vipi!

Natamani ningekuwa mchawi angalau siku moja. Hii ni kwa sababu naamini nimechezewa sana. Tangu utotoni napitia misukosuko tu. Hasa kiafya.

Ningependa kushare nanyi mambo yote lakini sina ujasiri huo kwa sababu wapo humu wanaonifahamu.

Njia nzuri ya kujifunza Uchawi ni ipi!?

Je inawezekana kweli kujifunza Uchawi, natamani kupambana nao hawa watu wakorofi.

N.B naamini uwepo na Ukuu wa Mungu katika Utatu Mtakatifu.
 
Ukuu wa Mungu katika utatu mtakatifu ndo kiboko ya uchawi.Mwombe Mungu akupiganie,huwez kuwa muumini wa uchawi huku unaamini uwepo wa Mungu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom