UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 566
Kupaa Usiku Kwa Unya Wa Bawa La Mbuni Ni Raha Sana.Unachotakiwa Ni Kuzungumza Na Nafsi Yani Kimoyo Moyo Kwamba Unataka Kwenda Wapi Huku Umefumba Macho Na Kutamka Neno Flani Mara Idadi Ya Miaka Yako.Kitakachofuata Utahisi Baridi Kali Hapo Ujue Upo Angani Na Ukiona Baridi Inapungua Ujue Unakaribia Pale Ulipokusudia.Ili Utue Utalazimika Narudia Tena Utalazimika Kunyoosha Mikono Juu Na Kukunja Mguu Wa Kulia Hapo Utatua Salama Halafu Unachomoa Unyoya Kwenye Mapaja Ambao Uliweka Katikati Ya Mapaja Yako.