Uchawi Wa Kupaa Kwenye Unyoya Bawa La Mbuni Raha Sana

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
566
Kupaa Usiku Kwa Unya Wa Bawa La Mbuni Ni Raha Sana.Unachotakiwa Ni Kuzungumza Na Nafsi Yani Kimoyo Moyo Kwamba Unataka Kwenda Wapi Huku Umefumba Macho Na Kutamka Neno Flani Mara Idadi Ya Miaka Yako.Kitakachofuata Utahisi Baridi Kali Hapo Ujue Upo Angani Na Ukiona Baridi Inapungua Ujue Unakaribia Pale Ulipokusudia.Ili Utue Utalazimika Narudia Tena Utalazimika Kunyoosha Mikono Juu Na Kukunja Mguu Wa Kulia Hapo Utatua Salama Halafu Unachomoa Unyoya Kwenye Mapaja Ambao Uliweka Katikati Ya Mapaja Yako.
 
Mimi ktk maisha yangu yote niliamini kabisa kuwa Sungura na fisi wanaongea lugha za binadamu.
Hii ilitokana na hadithi nilizofundishwa hapo zamani za SUNGURA NA FISI ila hii sidhani kama inafanana na muendelezo huo sasa nimekuwa si mtoto tena.
 
[HASHTAG]#ramea[/HASHTAG] Suala La Kupaa Na Unyoya Wa Bawa La Mbuni Ni Kawaida Na Kusafiri Kutoka Sehemu Flan Na Kwenda Wapi Ni Maamuz Ya Mtu Mwenyewe Na Si Lazima Sana Wengine Kujua
 
[HASHTAG]#markmsue[/HASHTAG] Uchawi Una Faida Zile Anazozipata Mchawi Mwenyewe Mimi Mwenyewe Naweza Kuruka Angani Nikiamua
 
Zipo nyingi mojawapo ni hiyo ya kuelea angani lakn pia wachawi huwaga hawatongozani maana hawanaga desturi ya kuvaa nguo ukimtaka mzigo ni juu kwa juu hamna baniana mapaja kama katika ulimwengu wetu mpaka msumbuane na pengine upati mzigo
 
Kifaa Chenyewe Hiki Hapa
 

Attachments

  • Unyoya.jpg
    Unyoya.jpg
    78.7 KB · Views: 34
Kwanini mkuu usi commercialize hii technology bei ya Mafuta inapanda tarehe moja.;)
 
[HASHTAG]#doup[/HASHTAG] Mbona Watu Siku Nyingi Sana Wanatumia Huu Usafiri.Mimi Mwenyewe Nilipata Hii Huduma Nikanogewa Nikamuomba Anifundishe Sasa Na Enjoy Mwenyewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom