Uchawi wa Kaiza Chiefs

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
1,662
2,000
Muda unasonga sana magoli yanakaribia kujaa kikapu.Wengi wanasema Kaizer waliloga kwao hivyo Simba lazima walipize kwa Mkapa.Msemaji wao ameenda mbali zaidi na kusema kesho mtu anakula mkono as is atacheza. Baada ya kipigo kikali wanasimba wote na viongozi wao wameelekeza nguvu zao kwa masangoma (Illusions) kwa kuwaogopesha kisailojia Kaizer.

Naomba mkumbuke kuwa South Africa ina chuo kikuu kinatoa degree (bora) ya uchawi,Yaan kwa tafsiri nyingne wakitaka mganga wanachukua wale waliomaliza na G.P.A kubwa wanakuja nae bongo.Hivyo kama wamekuja nao ni kiama kingne kwa hzo familia za hutwo tuchawi twenu sijui twa Congo.

Usiaminishwe utashinda kwa uchawi,Timu ijipange tu ishanyea kambi ipambane bila kuwa na mentality za hvyo.Wale ni Super wachawi yaan ukute wakati Manara anaenda kulala kambini limoja nimelala na mke wa Manara.

POVU RUKSA ILI TUPATE LA KUFULIA JEZI LA SIMBA KESHOKUTWA.
 

k_dizle

JF-Expert Member
Jan 11, 2015
881
1,000
Naomba mkumbuke kuwa South Africa ina chuo kikuu kinatoa degree (bora) ya uchawi,Yaan kwa tafsiri nyingne wakitaka mganga wanachukua wale waliomaliza na G.P.A kubwa wanakuja nae bongo.


we jamaaa umenichekesha sana kipande hicho. Yani wanavuta tu graduate mmoja kazi imeisha
 

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
15,231
2,000
... South Africa ina chuo kikuu kinatoa degree (bora) ya uchawi, yaan kwa tafsiri nyingne wakitaka mganga wanachukua wale waliomaliza na G.P.A kubwa wanakuja nae bongo.

...Usiaminishwe utashinda kwa uchawi,...
Mzee hoja zako zinakinzana, na inaelekea hauna kitu unachosimamia. Umesema South africa wanacho chuo kinachotoa degree ya uchawi. Wakati huo huo unasema usiaminishwe kuwa utashinda kwa uchawi. Sasa tukuelewe kwa lipi, kwamba SA ni wachawi na wana chuo bora, au watu wasiamini kushinda kupitia uchawi?
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,768
2,000
Leo Mikia fc wanaingia uwanjanai kama ma underdog! Bora hata wangeshika nafasi ya pili kwenye kundi lao! Unapigwaje goli 4 kwa mtungi, huku ukiwa na ball possession ya 80%!!!
 

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
1,662
2,000
Mzee hoja zako zinakinzana, na inaelekea hauna kitu unachosimamia. Umesema South africa wanacho chuo kinachotoa degree ya uchawi. Wakati huo huo unasema usiaminishwe kuwa utashinda kwa uchawi. Sasa tukuelewe kwa lipi, kwamba SA ni wachawi na wana chuo bora, au watu wasiamini kushinda kupitia uchawi?
Mkuu uzi wangu ulipaswa kuusoma ukiwa umeacha kazi zako zote umerelax ndo utaelewa.Simba wanategemea uchawi means wanaamin kwa uchawi wataifunga Kaizer kitu ambacho siyo kweli maana na wao ni bora kwa uchawi.So waplan tu kupiga mpira.
 

UP TO DATE

JF-Expert Member
Apr 20, 2021
348
500
Duh Sasa hivi ni masuala ya ndumba tu ndo yanaongeleka kwenye hii mechi ya Simba na kcfc,kazi kwelikweli...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom