Uchawi wa 4WD ni nini hasa?

Noma

BK404379_0fcbca.jpeg
 
Diff lock ndo nn?
Diff lock kama jina lake.. Inalock matairi ya kwenye diff moja ili power iwe distributed nusu kwa nusu..! Bila kujali lipi lina less resistance..!

Tofauti na open diff.. Power huwa inakuwa transmitted kwenye tire yenye less resistance..
Kwahiyo incase umepita eneo.. Tairi moja likanyanyuka.. Jiandae kukwama.. Maana power yote itakuwa sent kwenye hilo tairi lililonyanyukana litaishia kuspin tuu..! Wakati tairi lililochini ndio lilitakiwa kupewa power ili utoke..!
Diff locker ndio inasolve hapo sasa..!
 
Umesomeka Mkuu. Tukutane Mawasiliano Park
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom