Uchawi wa 4WD ni nini hasa?

franktemu123

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
1,288
2,000
Noma

BK404379_0fcbca.jpeg
 
KndNo1

JF-Expert Member
Oct 26, 2021
225
1,000
Ndio ipo kwenye matairi ya mbele.ukikuta tope unashuka unaweka diff lock kwa kuzungusha kitufe flani hivi,Katatika kila taili,hapo kazi kwisha.
Aisee zile sio diff lock.. Zile ni Hub lock.. Ni vitu viwili tofauti..!
 
KndNo1

JF-Expert Member
Oct 26, 2021
225
1,000
Diff lock ndo nn?
Diff lock kama jina lake.. Inalock matairi ya kwenye diff moja ili power iwe distributed nusu kwa nusu..! Bila kujali lipi lina less resistance..!

Tofauti na open diff.. Power huwa inakuwa transmitted kwenye tire yenye less resistance..
Kwahiyo incase umepita eneo.. Tairi moja likanyanyuka.. Jiandae kukwama.. Maana power yote itakuwa sent kwenye hilo tairi lililonyanyukana litaishia kuspin tuu..! Wakati tairi lililochini ndio lilitakiwa kupewa power ili utoke..!
Diff locker ndio inasolve hapo sasa..!
 
andreakalima

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
4,643

Umesomeka Mkuu. Tukutane Mawasiliano Park
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom