Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,697
Ni rais wa zamani wa Rwanda, Juvenal Habyarimana.
Alikuwa na chumba maalumu ktk ikulu yake ambamo shughuli za uchawi na ushirikina vilifanyika.
Aliamini Sana ktk uchawi na ulozi na pia akafuga joka kubwa aina ya chatu Kwa Sababu za kishirikina.
Kifo chake baada ya ndege yake kutunguliwa na kombora hakikuwa cha Bahati mbaya, bali kilipangwa makusudi kabisa.
Pamoja na kuwa mshirikina akashindwa kuijua Siku ya kifo chake.
Pengine angekuwa mcha Mungu angejua.
Usiniulize nimejuaje, jenga tabia ya kujisomea Sana.
Watanzania wengi hatuna tabia ya kujisomea kabisa.
Ukimwona kijana wa kitanzania ana gazeti mkononi, basi litakuwa la udaku au la michezo, na Kama ana kitabu basi ni cha hadithi na si vitabu vya maarifa.
Na ndo maana uelewa wetu ni mdogo Sana.
Hayati Habyarimana.