Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 12,274
- 6,435
Kwahiyo tuseme kwamba afrika nzima ipo hivi ilivyo ni kwa sababu waafrika tuna akili mbovu? Najaribu kutafakari bara zima imekuaje hadi ikawa watu wake wawe na akili mbovu?Tatizo kubwa ni akili zetu mbovu, hao wakina magu tutawaonea tu maana hata wao ni waafrika kwa hiyo bongo zao hazitofautiani na za wale wanaowaongoza.