Uchawi uliong'arisha ulaya ni upi? Tufanyaje?

Umaskini wa kwetu ni wakutengenezwa na serkali
Hakuna sera bora ya kukipa thaman kile anachozalisha mtanzania
Tunajua watanzania 80% bado tunategemea kilimo
Mkulima anajipinda miezi saba kuzalisha junia 30 anakuja kuziudha kwa bei ya hasara unafikiri anawezaje kujikwamua?

Ili nchi ifanikiwe lazima kilimo kithaminiwe hasa wakulima wadogo kwasababu hawana sehemu ya kuuza mazao yao

Ni kweli vijijini watu wanaishi maisha magumu sana
Sera ya serikali inakuja baada ya wananchi usije na matusi lakini kisa nimeitetea serikali yangu nikuulize swali rahisi tu ungekuwa wee ndo incharge wa kusambaza maji safi nchini ungesambaza hadi sehemu ambazo wananchi hawana uwezo wa kumudu gharama za maji? au umeme? vipi barabara? tatizo hapa wote tunategeana wananchi hawaendi sehemu fulani hadi wasikie serikali inafanya mpango fulan pale na Serikali haipeleki huduma sehemu fulan maana hakuna resident coverage pale. Waafrika wameamka wanapambana kimya kimya nje ya kuitegemea serikali endelea kuikosoa serikali huku ukiwa unafanya jitihada binafsi ili utakapoulizwa wew umesimamia wapi na kufika hatua gani kama mfano uweze kujustify ok my friend?
Mwisho nikuachie hii Sisi kama wawakilishi wa Serikali tunavumilia mengi sana likiwemo la vijana kumaliza elimu zao na kujisomba mijini iwe ni kwenye vijiwe vya kariakoo, posta kwa dar Lumumba sahara Mwanza Na mikoani huko ambako mnapajua wakiwa hawajishughulishi zaidi ya kulamba midomo na kuperuz kwenye social media hasa pages zinazoencourage ngono tu wakipiga step ni kufanikiwa kuwa vichawa wa macelebrities na viongozi mbali mbali, nchi inajengwa na idadi ndogo ya watu hatuwezi kufika kwa mtindo huu anayepingana na hii hoja afanye research atakuja na data nzuri sana maana wengi tunaona hali ilivyo mtaani.
 
asante
 
Sio uchawi ila ni maujanja! Walipokuletea dini walikuambia funga macho usali, wakatuachia biblia wakachukuwa utajiri wetu.
 
Tatizo letu ni kutaka kujilinganisha na hao wenzetu kana kwamba hayo maendeleo waliyapata kwa muda mchache tu tena kutokana na kwamba et wana akili sana.
Unaongea kama vile dunia ilianza kuumbwa kwao halafu baadae na sie ndo tukafuatia. Time factor haina nafasi kwa sababu muda ulikua sawa kwa wote, wao walitumia muda wao vizuri sisi tukaendekeza tunguri

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Wewe unafikiri dunia ilianza tu kukawa na sehem inaitwa ulaya ambapo wanaishi wazungu,afrika wanaishi waafrika n.k kama ambavyo ilivyo sasa?
 
Back
Top Bottom