Uchawi sio kitu kibaya kama inavyofahamika

Hizbu Sharifu

JF-Expert Member
Jan 27, 2021
449
882
Habari ndugu

Binafsi napenda kusema hadharani kua uchawi sio mbaya kama unavyosemwa na baadhi ya watu na kwa bahati mbaya wasioleewa dini vizuri hudhani uchawi ni haram ukweli ni kwamba ushirikina ndio harama ila uchawi sio haram ingawa upo uchawi mwingine hutumika kufanyika kwa njia za kishirikina

Uchawi ni kitu ambacho kinaitaratibu wa kuheshimu utu wa mwanaadamu

Sipendelewi na maneno yanayosemwa kua uchawi ni mbaya

Ni kweli wapo wanaorogwa na uchawi waharibikiwe ila wanaofanya uchawi wakafanikiwa pia wapo na wengi zaidi ya wanaoharibikiwa
 
Habari ndugu
Binafsi napenda kusema hadharani kua uchawi sio mbaya kama unavyosemwa na baadhi ya watu na kwa bahati mbaya wasioleewa dini vizuri hudhani uchawi ni haram ukweli ni kwamba ushirikina ndio harama ila uchawi sio haram ingawa upo uchawi mwingine hutumika kufanyika kwa njia za kishirikina
Uchawi ni kitu ambacho kinaitaratibu wa kuheshimu utu wa wa mwanaadamu
Sipendelewi na maneno yanayosemwa kua uchawi ni mbaya
Ni kweli wapo wanaorogwa na uchawi waharibikiwe ila wanaofanya uchawi wakafanikiwa pia wapo na wengi zaidi ya wanaoharibikiwa
Mtoto mdogo
 
Haya usemayo yana uhalisi katika ulimwengu wa roho au upasa kama uko gizani
 
Back
Top Bottom