Uchawi na Majini unatoka wapi ndani ya SERIKALI?

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
SERIKALI HAINA DINI.
Ni kweli, je Kamati za Ufundi zilizojaa majini na wachawi ni za nani? Chakushangaza mpaka kwenye makusanyiko ya Kidini.

Kwanini Mungu ametupwa ndani ya Watawala na maigizo ndo yametawala? Yesu anaweza kuiokoa SERIKALI na sio majini na wachawi.

Aksanteni.

Deogratius Nalimi Kisandu.
 
Daaaah so sad aisee.....

Hivi ndugu zake hawapo wamnyanganye vifaa anavyotumia kuingia humu?

Nitashangaa hata Serikali wakishindwa kumkamata kumuhoji na kumtibu mtu type hii....
 
Deo una stress
 
Ebu tafuta mtaalamu wa Saikolojia kwa muda ! Unajua mgonjwa huwa hawezi kujijua?.
Naona hii namba ya Jp mpaka Lumumba hali imekuwa mbaya.
 
Huyu bwana anahitaji msaada. Huyu akituhumiwa uchochezi ni kumuonea.
Kama kuna ndugu zake , tafadhali mpeni msaada kijana huyu.
 
Daaaah so sad aisee.....

Hivi ndugu zake hawapo wamnyanganye vifaa anavyotumia kuingia humu?

Nitashangaa hata Serikali wakishindwa kumkamata kumuhoji na kumtibu mtu type hii....

serikali ina mambo mengi ya msingi sana na sio ku deal na vichaa wa kujitakia
 
lakini hata vichaa wanaweza kuandika kitu jamani..msomeni deo vizuri...ana kitu anataka kueleza
 
SERIKALI HAINA DINI.
Ni kweli, je Kamati za Ufundi zilizojaa majini na wachawi ni za nani? Chakushangaza mpaka kwenye makusanyiko ya Kidini.

Kwanini Mungu ametupwa ndani ya Watawala na maigizo ndo yametawala? Yesu anaweza kuiokoa SERIKALI na sio majini na wachawi.

Aksanteni.

Deogratius Nalimi Kisandu.

Duh... sasa hao majini na wachawi umewajuaje?
 
serikali ina mambo mengi ya msingi sana na sio ku deal na vichaa wa kujitakia
Mkuu inaonyesha huyu jamaa kasindikana mtaani so cha kufanya au mod wawe wanafua upuuzi wake au Serikali imkamate kwanza au ndugu wamnyanganye vifaa anavyotumia kufanya huu upuuzi
 
cha kufanya ni wewe kutosoma upuuzi wake

hayo mengine hayana umuhimu

hata kichaa ana uhuru wa expression
 
Ahahah! raha ya JF unapata muda wa kuona na kusoma pumba za watu, hii inaitwa stress free zone.
Of course ukisoma kwa watu makini unaweza ukapasuka kichwa na habari za siri-kali hii ya bingwa mpasua vichwa.
 
cha kufanya ni wewe kutosoma upuuzi wake

hayo mengine hayana umuhimu

hata kichaa ana uhuru wa expression
Kumsaidia mtu kama huyu si kuacha kusoma mada zake bali kufanya kama technically alivyosema na kumpeleka kwa waganga hospitalini
 
Back
Top Bottom