Uchawi hauepukiki, ona alama za mabasi na logo zao

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Ukifuatilia sana, wote ambao wana viwanda, mabasi, migodi, mabasi, wabiashara makubwa ni wabahili sana. Hawaambiliki.

Unakuta mtu mmiliki wa kiwanda, anakunywa chai na muhogo au kiazi kitamu, na ni kiroho safi tu.

Mwingine unakuta havai nguo ya ndani (chupi, boxer) au akivaa analala amekaa kwenye kiti sebuleni miaka nenda rudi.

Mfano mwingine, magari ya Saibaba yakuwa na kitambaa cheusi kinaning'inia nyuma mkono wa kulia kwenye mabasi yote. Na pale Ubungo kila siku alfajiri, kuna kibabu fulani cha Kihindi ndicho ambacho hutekenya (kuwasha) magari yote ya Saibaba Ubungo Terminal huku kikisema yake.

Abood na mabasi yake alama nyekundu, damu lazima.Maana yake kuna wakati basi huchinja binadamu.

HOOD nae ukifika pale ofisini kwake Morogoro, wale njiwa lazima wapande juu ya basi iwapo mnaendelea na safari wakati gari inafanyiwa service. Kwanini? Utajaza mwenyewe.

Ndo maana mabasi mengi yana alama za hovyo, za kichawi na mizimu.

Ngorika tu ndo imechorwa BIBLIA na yule chui ambae huwa amelala tu.
 
Umeona mbali mkuu.Logo karibu zote ni za kishirikina,sio hapa tu ni dunia nzima.Airtel,Vodacom, McDonald's,Disney,BP nk. In fact hata bendera za mataifa mbali mbali ni ushirikina mtupu.Ya marekani ndiyo inayo ongoza.
Ukifuatilia sana, wote ambao wana viwanda,mabasi, migodi,mabasi, wabiashara makubwa n wabahili sana.Hawaambiliki.

Unakuta mtu mmiliki wa kiwanda,anakunywa chai na muhogo au kiazi kitamu, na n kiroho safi tu.

Mwingine unakuta havai nguo ya ndani (chupi,boxer) au akivaa analala amekaa kwenye kiti sebuleni miaka nenda rudi.

Mfano mwingine,magari ya Saibaba yakuwa na kitambaa cheusi inaning'inia nyuma mkono wa kulia kwenye mabasi yote. Na pale Ubungo kila siku alfajiri, kuna kibabu fulani cha kihindi ndicho ambacho hutekenya (kuwasha) magari yote ya Saibaba Ubungo Terminal huku kikisema yake......

Abood na mabasi yake alama nyekundu, damu lazima.Maana ake kuna wakati basi huchinja binadamu.

HOOD nae ukifika pale ofisin kwake Morogoro,wale njiwa lazima wapande juu ya basi iwapo mnaendelea na safari wakati gar inafanyiwa service. Kwann?Utajaza mwenyewe.

Ndo maana mabasi mengi yana alama za hovyo, za kichawi na mizimu.

Ngorika tu ndo imechorwa BIBLIA na yule chui ambae huwa amelala tu
 
Mtoto pekee wa billgate alikuwa na tabia akienda kwenye mgahawa Fulani kula huwa hachukii chenji ,anaacha chenji na hata anaweza kuacha idadi kubwa ya chenji

Kuna siku billgate alienda kwenye mgahawa huo kula msosi wahudumu walimnyenyekea ,walimfanyia ukarimu wakidhani kwakuwa mwanaye huwa anatabia ya kuacha chenji basi bosi mwenyewe billgate hiyo siku itakuwa neema

Baada ya billgate kula msosi akaona hakuna dalili ya kurudishiwa chenji akaenda counter kudai pesa yake

Yule manager akamuambia mwanaye huwa anatabia akishakula huwa hachukui chenji hivyo walidhani na billgate hivyo hivyo

Billgate akawajibu huyo mwanaye muache afanye ujinga sababu hajui uchungu wa pesa ,Mimi niliyetolea jasho pesa ninajua thamani ya pesa nipeni chenji yangu ,baada ya kuchukua chenji akasepa zake

Kuna msemo usemao stori za tajiri anazo masikini ,ukitaka stori yeyote ile ya tajiri mtafute masikini atakuchambulia kama vile Einstein anavyoshuka integration au differential equation

Masikini anaweza kujua chini ya kitanda cha tajiri kuna nini kuliko huyo tajiri mwenyewe

Sasa hayo masuala ya boxer ,chupi umeyajuaje inawezekana mtoto mpaka anakua ,anakufa hajui rangi ya boxer ya baba yake lakni masikini wa manzese kwa mfuga mbwa atakuchambulia aina,brand ya boxer na huwa anavaa siku ngapi huyo tajiri

Mwafrika
 
Ukifuatilia sana, wote ambao wana viwanda,mabasi, migodi,mabasi, wabiashara makubwa n wabahili sana.Hawaambiliki.

Unakuta mtu mmiliki wa kiwanda,anakunywa chai na muhogo au kiazi kitamu, na n kiroho safi tu.

Mwingine unakuta havai nguo ya ndani (chupi,boxer) au akivaa analala amekaa kwenye kiti sebuleni miaka nenda rudi.

Mfano mwingine,magari ya Saibaba yakuwa na kitambaa cheusi inaning'inia nyuma mkono wa kulia kwenye mabasi yote. Na pale Ubungo kila siku alfajiri, kuna kibabu fulani cha kihindi ndicho ambacho hutekenya (kuwasha) magari yote ya Saibaba Ubungo Terminal huku kikisema yake......

Abood na mabasi yake alama nyekundu, damu lazima.Maana ake kuna wakati basi huchinja binadamu.

HOOD nae ukifika pale ofisin kwake Morogoro,wale njiwa lazima wapande juu ya basi iwapo mnaendelea na safari wakati gar inafanyiwa service. Kwann?Utajaza mwenyewe.

Ndo maana mabasi mengi yana alama za hovyo, za kichawi na mizimu.

Ngorika tu ndo imechorwa BIBLIA na yule chui ambae huwa amelala tu
Ukitaka kukiona cha mtemakuni nenda pale ubungo umebeba njiwa uingine nae gari lolote ujifanye wewe ni msafiri uje utupe mrejesho hapa jamaa washirikina sana hawa usiome mtu anamiliki mahekalu, magari ya kifahari kuna siri nzito japo sio wote
 
Duuh, kuna connection gani kati ya njiwa na hayo mkuu?
 
Ukifuatilia sana, wote ambao wana viwanda,mabasi, migodi,mabasi, wabiashara makubwa n wabahili sana.Hawaambiliki.

Unakuta mtu mmiliki wa kiwanda,anakunywa chai na muhogo au kiazi kitamu, na n kiroho safi tu.

Mwingine unakuta havai nguo ya ndani (chupi,boxer) au akivaa analala amekaa kwenye kiti sebuleni miaka nenda rudi.

Mfano mwingine,magari ya Saibaba yakuwa na kitambaa cheusi inaning'inia nyuma mkono wa kulia kwenye mabasi yote. Na pale Ubungo kila siku alfajiri, kuna kibabu fulani cha kihindi ndicho ambacho hutekenya (kuwasha) magari yote ya Saibaba Ubungo Terminal huku kikisema yake......

Abood na mabasi yake alama nyekundu, damu lazima.Maana ake kuna wakati basi huchinja binadamu.

HOOD nae ukifika pale ofisin kwake Morogoro,wale njiwa lazima wapande juu ya basi iwapo mnaendelea na safari wakati gar inafanyiwa service. Kwann?Utajaza mwenyewe.

Ndo maana mabasi mengi yana alama za hovyo, za kichawi na mizimu.

Ngorika tu ndo imechorwa BIBLIA na yule chui ambae huwa amelala tu
Kumbe watu kama wewe bado mna exist katika ulimwengu huu..pole..yaani nimecheki mfano point ya hood...gari isifanyiwe service??even kuicheck tu hata kama mnaendelea na safari??Halafu kwa abood kwani rangi nyekundu matumizi yake ni nn labda ningekuuliza..?Maana ni rangi nzuri tu but ninachokiona ni perception yako tuu...
 
Back
Top Bottom