Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

Baadhi wanasema kuna majini wazuri na majini wabaya, wazuri hua wanasali na kumuomba mungu na wabaya hadi ma atheist wapo

Wapo wanaodai kua kuna elimu juu ya utengenezaji wa hivyo viumbe.

Kuna siku nilisikia redioni mkufunzi akitoa somo namna ya kuita jini kwa kutamka maneno fulani hivi ya kiarabu.

Yale maneno niliyanukuu vyema nikawa naya practice maana mdau alisema unatakiwa uende njia panda usiku wa maneno kisha utamke hayo maneno

Nikiwa na tumaini kua leo ndio siku ambayo najithibitishia kua majini yapo, nikafika njia panda nikaanza kuyatamka hayo maneno kwa kuyarudia rudia zaidi ya mara 100 lakini hakukua na respond yeyote kutoka third party system

Wakati nikiendelea kutamka yale maneno nilishtukizwa na roba flani matata upande wa nyuma, mwanzo nilidhani ni ujio wa jini kumbe ni kibaka wa mtaa na alikua anapiga patrol

Aisee nilimlaumu sana yule jamaa wa redioni

kuna DADA moja nilikutana nae bar flani hiv hapa mjini..nikamuita tujuike pamoja...duh akaanza kusema ana njaa nimpe 10000 ya chakula,mara aseme mama ake ni mgonjwa anahitaji 100000 ya operation,...sijakaa vizuri ktkt ya maongezi mara anasema tena nimpe 35000 anataka kwenda saloon kesho ..eh hata sijamjibu kitu akapita machinga kabeba viatu flan vya kimasai hivi...akaniambia tena Baby ninulie hiki tsh 30000 tu...
Dah Nilivoondoka ondoka pale hata sielewi nilijikuta tu nimefika home..

MAJINI yapo jamani WANAUME wenzangu
No prove.. Wewe ulikuwa na nyege
 
Umeandika kama umekatwa kichwa.

Wachawi wapo, nimeshawaona kwa macho wakiwa wanawanga usiku.

Majini yapo pia, ni viumbe wasioonekana kwa macho ya kawaida.

Ukiona haujakutana na mambo ya giza basi ujue wewe hauna tija wala umuhimu.

Wachawi na mashetani huwa wanashughulika na watu wenye vipawa na nyota zinazowaka.

Mungu akikujalia vipawa lazima nguvu za giza zikuandame kwa kasi ya ajabu.

Na Mungu anaruhusu hayo ili ujitambue kiroho. Ukishajitambua, vita inakuwa nyepesi.
Lete prove.. Umewaonaje
 
Yani wewe huwezi elewa sababu Shetani ameshakuwin na huwezi pata jaribu lolote lile.

Funny thing na shetani, akishakuweka kwenye 18 na ukaishi kwenye kambi yake huwezi ona mauza uza hata siku moja kwa sababu wewe ndo ushaolewa tayari

Hayo yote utayaona kwenye vita ya kiroho, otherwise tutabishana miaka 1000 na tusikubaliane.

Mie nimeshapambana na nguvu za kishetani mara kibao na kila ninaposali sana lazima siku hiyo nijaribiwe.
Bado huna prove
 
Siku moja usiku rafiki yangu alikuwa anakula miraa nje, akiwa full handas akatembea hadi barabarani na kusimama njia panda akiendelea kutafuna miraa. Alikuwa amevaa kanzu nyeupe, wakatokea kina dada wawili walipomuona wakakimbia sana hakuwaona tena na hakujua ni kina nani.

Kesho yake asubuhi akasikia dada mmoja jirani yake akimsimulia mke wake kwamba jana usiku waliona jini pale njia panda
 
Siku moja usiku rafiki yangu alikuwa anakula miraa nje, akiwa full handas akatembea hadi barabarani na kusimama njia panda akiendelea kutafuna miraa. Alikuwa amevaa kanzu nyeupe, wakatokea kina dada wawili walipomuona wakakimbia sana hakuwaona tena na hakujua ni kina nani.

Kesho yake asubuhi akasikia dada mmoja jirani yake akimsimulia mke wake kwamba jana usiku waliona jini pale njia panda sasa
 
Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nn.. Nani ambaye anaweza kutupa prove uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?

Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.

Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje km yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika
Lete prove hapa.

Hakuna cha majini wala uchawi
...Naomba nikusaidie kidogo mto mada. Hapo kwenye 'lete Prove' inatumiaka zaidi 'Lete Proof'!!
 
Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nn.. Nani ambaye anaweza kutupa prove uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?

Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.

Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje km yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika
Lete prove hapa.

Hakuna cha majini wala uchawi
Uchawi upo na majini yapo wengine tumeshawahi kuyatoa bikra hayo majini ya kike
 
Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nn.. Nani ambaye anaweza kutupa prove uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?

Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.

Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje km yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika
Lete prove hapa.

Hakuna cha majini wala uchawi
Acha upambavu dogo.
uchawi upo me mwenyewe nishapoteza ndugu kwa huo uchawi (hawakuwa warengwa)

Kuhusu jini sijawahi liona, ila uchawi sio kuuonatu, mpaka kuubeba.

Ila malezi nayo yana changia, huwezi lelewa maisha ya mboga saba ukaujua uchawi, ila ungezaliwa uswahilini usingeongea hivi.
 
Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nn.. Nani ambaye anaweza kutupa prove uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?

Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.

Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje km yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika
Lete prove hapa.

Hakuna cha majini wala uchawi
Afrika hata mtu akiota ndoto mbaya kwa sababu kalala na njaa, atakuambia kakutana na jini.
 
Back
Top Bottom