Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

Lakasa chika7

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
403
1,000
Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?

Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.

Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje kama yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika

Eti mchawi anatembea angani kwenye ungo.. Uongo tu.. Waambie hayo majini yawape pesa.. Wanaojiita waganga au wenye majini maskini km nini.
Tunaweza kuuprove upepo..
Hayo majini yenu mbn hamuwezi.
Hata hawa wanaopandisha majini/mashetani hakuna chochote wanaumwa akili au km wanawake wanaumwa hysteria.Lete Proof hapa.

Hakuna cha majini wala uchawi
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
22,114
2,000
Baadhi wanasema kuna majini wazuri na majini wabaya, wazuri hua wanasali na kumuomba mungu na wabaya hadi ma atheist wapo

Wapo wanaodai kua kuna elimu juu ya utengenezaji wa hivyo viumbe.

Kuna siku nilisikia redioni mkufunzi akitoa somo namna ya kuita jini kwa kutamka maneno fulani hivi ya kiarabu.

Yale maneno niliyanukuu vyema nikawa naya practice maana mdau alisema unatakiwa uende njia panda usiku wa maneno kisha utamke hayo maneno

Nikiwa na tumaini kua leo ndio siku ambayo najithibitishia kua majini yapo, nikafika njia panda nikaanza kuyatamka hayo maneno kwa kuyarudia rudia zaidi ya mara 100 lakini hakukua na respond yeyote kutoka third party system

Wakati nikiendelea kutamka yale maneno nilishtukizwa na roba flani matata upande wa nyuma, mwanzo nilidhani ni ujio wa jini kumbe ni kibaka wa mtaa na alikua anapiga patrol

Aisee nilimlaumu sana yule jamaa wa redioni
 
Ausar

JF-Expert Member
Mar 19, 2021
308
500
Baadhi wanasema kuna majini wazuri na majini wabaya, wazuri hua wanasali na kumuomba mungu na wabaya hadi ma atheist wapo

ua leo ndio siku ambayo najithibitishia kua majini yapo, nikafika njia panda nikaanza kuyatamka hayo maneno kwa kuyarudia rudia zaidi ya mara 100 lakini hakukua na respond yeyote kutoka third party system
Jini kibaka kakudaka.......
 
Zacc

JF-Expert Member
Aug 1, 2018
209
250
Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nn.. Nani ambaye anaweza kutupa prove uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?

Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.

Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje km yapo.

Lete prove hapa.

Hakuna cha majini wala uchawi
, kama vile umetupia kitu cha Arusha,
mkuu Mshana Jr popote pale, mwelekeze huu jamaa,kuna nyuzi za huyu mwamba zinaelezea vizuri kuhusu hii ishu ni nouma sana.
 
Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,180
2,000
Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nn.. Nani ambaye anaweza kutupa prove uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?

Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.

Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje km yapo.

Lete prove hapa.

Hakuna cha majini wala uchawi
Yani wewe huwezi elewa sababu Shetani ameshakuwin na huwezi pata jaribu lolote lile.

Funny thing na shetani, akishakuweka kwenye 18 na ukaishi kwenye kambi yake huwezi ona mauza uza hata siku moja kwa sababu wewe ndo ushaolewa tayari

Hayo yote utayaona kwenye vita ya kiroho, otherwise tutabishana miaka 1000 na tusikubaliane.

Mie nimeshapambana na nguvu za kishetani mara kibao na kila ninaposali sana lazima siku hiyo nijaribiwe.
 
Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
4,095
2,000
Baadhi wanasema kuna majini wazuri na majini wabaya, wazuri hua wanasali na kumuomba mungu na wabaya hadi ma atheist wapo

Wapo wanaodai kua kuna elimu juu ya utengenezaji wa hivyo viumbe.

Kuna siku nilisikia redioni mkufunzi akitoa somo namna ya kuita jini kwa kutamka maneno fulani hivi ya kiarabu.

Yale maneno niliyanukuu vyema nikawa naya practice maana mdau alisema unatakiwa uende njia panda usiku wa maneno kisha utamke hayo maneno

Nikiwa na tumaini kua leo ndio siku ambayo najithibitishia kua majini yapo, nikafika njia panda nikaanza kuyatamka hayo maneno kwa kuyarudia rudia zaidi ya mara 100 lakini hakukua na respond yeyote kutoka third party system

Wakati nikiendelea kutamka yale maneno nilishtukizwa na roba flani matata upande wa nyuma, mwanzo nilidhani ni ujio wa jini kumbe ni kibaka wa mtaa na alikua anapiga patrol

Aisee nilimlaumu sana yule jamaa wa redioni
 
black hawk87

JF-Expert Member
Jan 25, 2020
679
1,000
Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nn.. Nani ambaye anaweza kutupa prove uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?

Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.

Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje km yapo.

Lete prove hapa.

Hakuna cha majini wala uchawi
Kama vitabu vya dini vimesadiki wew Ni Nani usiamini uchawi au majini hayapo

Tatizo binadamu tuliopatikana kwa tone la maniii huwa tunashida Sana

Kuwa uyaone pata shida zikukabe mpaka uone Mungu Yuko mbali nawe ndio utajua uchawi uko au hauko ,majini yako au hayako

Kwa Mara ya kwanza namuona jini ilikuwa Moshi natoka club usiku laliga

Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
 
Kivumishi Kielezi

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
836
2,000
Umeandika kama umekatwa kichwa.

Wachawi wapo, nimeshawaona kwa macho wakiwa wanawanga usiku.

Majini yapo pia, ni viumbe wasioonekana kwa macho ya kawaida.

Ukiona haujakutana na mambo ya giza basi ujue wewe hauna tija wala umuhimu.

Wachawi na mashetani huwa wanashughulika na watu wenye vipawa na nyota zinazowaka.

Mungu akikujalia vipawa lazima nguvu za giza zikuandame kwa kasi ya ajabu.

Na Mungu anaruhusu hayo ili ujitambue kiroho. Ukishajitambua, vita inakuwa nyepesi.
 
Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,074
2,000
Kuna DADA moja nilikutana nae bar flani hiv hapa mjini..nikamuita tujuike pamoja...duh akaanza kusema ana njaa nimpe 10000 ya chakula,mara aseme mama ake ni mgonjwa anahitaji 100000 ya operation,...sijakaa vizuri ktkt ya maongezi mara anasema tena nimpe 35000 anataka kwenda saloon kesho ..eh hata sijamjibu kitu akapita machinga kabeba viatu flan vya kimasai hivi...akaniambia tena Baby ninulie hiki tsh 30000 tu...
Dah Nilivoondoka ondoka pale hata sielewi nilijikuta tu nimefika home..

MAJINI yapo jamani WANAUME wenzangu
 
Lakasa chika7

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
403
1,000
Kama vitabu vya dini vimesadiki wew Ni Nani usiamini uchawi au majini hayapo

Tatizo binadamu tuliopatikana kwa tone la maniii huwa tunashida Sana

Kuwa uyaone pata shida zikukabe mpaka uone Mungu Yuko mbali nawe ndio utajua uchawi uko au hauko ,majini yako au hayako

Kwa Mara ya kwanza namuona jini ilikuwa Moshi natoka club usiku laliga

Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Alikuwaje! Prove.. Hakuna majini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom