Uchawi 101: Madini kutoka kwa magenius wa Quora na namna ya kuudhibiti

wao hupenda kuufafanua uchawi kwa njia za kisayansi, lkn ukwel ni kuwa uchawi sio nguvu ya kila mtu, ama iliyoko ktk mind, watakiwa kutofautisha kati ya power of mind and witchcraft (magic black or whatever).

uchawi ni nguvu za roho znazomvaa mtu kwa kupenda ama kutokupenda, naposema kutokupenda maana yake kurithishwa ukiwa mtoto bila kujijua, ama kulazimishwa ukiwa mtu mzima.

Uchawi si kila mtu anaweza fanya, maana ni nguvy za roho aina ya pepo(jini,mzimu,n.k), ambayo huwa ndan ya mwili wa roho ya mtu, na kumfanya kutenda maajabu kutokana na aina ya pepo alilonalo.

pepo uyo wa uchawi uweza kuwa aina ya mazingaombwe, uganga(mizimu), ushirikina na vijicho(majini) na hawa huweza kurithishwa kutoka kwa mtu na mtu.

pia ktk uchawi kuna aina nyingine ya matumiz ya uchawi lkn usiwe mchawi, yaan mfuasi wa ushirikina, huyu huweza kufanya uchawi pasipo kuhitaji roho(pepo) kumvaa, aina hii ya uchawi ni ile ya matumiz ya madawa yenye nguvu za kutenda maajabu ya kichawi, mfano madawa ya manuizi, ibada na matambiko, ulozi kutoka kwa waganga, hawa wote wanaweza kuwa waumin wa uchawi bila ya wao kuwa na uchawi, yaan unatenda jambo bila wew kuwa na iyo nguvu, lkn unategemea tunguri ama jambo la giza kutokea kwa kutegemea vitendea kaz vya uchawi, hapa hata watoa limbwata na dawa za mapenz huingia, pia wale mnaotumia maji na mafuta ya manabii, mnajikuta mnatenda uchawi pasipo ninyi kuwa wachawi.

uchawi ni uchawi tu hata utendeke vipi, hakuna cha white wala black magic, wote ni uchawi maana ni nguvu moja ya kuweza kutenda negative actions or positive actions under the same demon, who having those power to do wonders.

uchawi ukichambuliwa kisayans matokeo yake ni ''hakuna uchawi" hii kutokana na kukosa shahid za kuelezea uwepo wake ama jinsi unavyofanya kazi, ama ''uchawi ni nguvu za akili/mental tricks to do wonders " jambo ambalo si kweli.

uchawi hauji kwa bahat mbaya wala kuzaliwa nao pasipo kurithishwa na mtu,.

uchawi ni mbaya na ndyo chanzo cha maafa hususan ktk jamii za kiafrika(uswahilin) kwa kuendekeza ushirikina kwa kukomoana, vijicho, wivu, husda, tamaa mbaya, kutoana misukule, kuuwana bila sabbu, kuaribiana maisha, haya yote ni matumiza ya uchawi kwa waswhil

asikwambie mtu uchawi yaan ni mbaya na unaaribu , maisha ya watu wengi, sio Tz tu au afrika, bali kwa dunia nzima
Umenena vyema
 
Kila kitu unachokiona is energy. There isn't anything physical as you feel it. It is all energy at a lower vibration
 
mmh! sio mchezo
 
Back
Top Bottom