Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,992
- 173,588
Hio kitaalam inaitwa LOCOMOTIVE FEINT,, yani Mchambuzi anampiga kamba msikilizaji kwa kutumia kingereza cha ndani yani CORE LINGUISTICS INSTINCT na naimani mpenzi msikilizaji atamwaga makofi bilq kuelewa hata anashabikia nini!Kashasha ni muongomuongo, anachambua mpira kama anasolve physics