mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,703
- 37,313
kuna kazi za wito ambazo mtu anazifanya akiwa tayari kwa yote.Ualimu nikazi duni sana hapa nchini huwezi amino kama inasomewa (professional)...kwa wenzetu inaheshma lkn kwetu tabu tupu. Mbaya zaidi viongozi wanawapuuza na wanapelekeshwa hata na mabalozi was nyumba kumi!! Skuiz hats wanafunzi washawaona walimu ni chokambaya
kama unafanya aina hiyo ya kazi huku ukitegemea utajiri,heshima,kuogopwa,au umaarufu umejichagulia sononeko milele.
kazi hizo zinataka ujitoe kwa moyo wote,halafu mengine yatakukuta mbele.
kama unakumbuka vizuri yupo mwalimu kenya,mwezi wa sita,amejishindia bilioni mbili za tz baada ya kushinda tuzo ya mwalimu mtumishi aliye bora na mwenye bidiii,baada ya kuwa akitumia mshahaara wake kuwasaidia wanafunzi wenye hali duni shuleni kwake.leo hii dunia inamjua na inamuheshimu sana kuliko hata rais wa nchi yake.
tujifunze kujitoa.