Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu shambulio la kigaidi France

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Dec 12, 2007
1,117
4,771
7632878-3x2-940x627.jpg

Uchambuzi wangu wa kiintelijesnia kuhusu shambulio la kigaidi lililotokea jana usiku katika jiji la Nice, nchini Ufaransa ambapo hadi sasa watu 84 wameuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa baada ya gaidi mmoja kuliingiza lori kwenye kundi la watu waliokuwa wakisherehekea siku ya kitaifa nchini humo. Bonyeza hapo chini kusikiliza uchambuzi huo
Chirbit [CHAHALI] [AUDIO] Makala ya Sauti: Uchambuzi (wangu) wa kiintelijensia kuhusu shambulio la kigaidi Ufaransa (15.07.16)
 
Waafrika sisi ni wajinga sana. Juzi kuna ndugu zetu waafrika zaidi ya 150 wameuwawa kwenye mapigano Sudan hakuna mtu aliesikitika...leo kwa sababu wamekufa WAZUNGU tunajifanya tunasikitika...ina maana maisha ya wazungu ni bora kuliko ya Waafrika? SHAME ON US AFRICAN
 
Mkuu mapovu sana mbona,ungeanzisha uzi kuhusu Sudan, naona na wewe ni walewale tu miafrika ndivyo tulivyo.
 
Waafrika sisi ni wajinga sana. Juzi kuna ndugu zetu waafrika zaidi ya 150 wameuwawa kwenye mapigano Sudan hakuna mtu aliesikitika...leo kwa sababu wamekufa WAZUNGU tunajifanya tunasikitika...ina maana maisha ya wazungu ni bora kuliko ya Waafrika? SHAME ON US AFRICAN
Mkuu waafrika tuna matatizo makubwa kuliko tunayoyajuwa, mwafrika ukiwa nchi ya weupe huna uhuru, ila mweupe akiwa nchi zetu yuko huru kuliko sisi wenyeww.
 
Waafrika sisi ni wajinga sana. Juzi kuna ndugu zetu waafrika zaidi ya 150 wameuwawa kwenye mapigano Sudan hakuna mtu aliesikitika...leo kwa sababu wamekufa WAZUNGU tunajifanya tunasikitika...ina maana maisha ya wazungu ni bora kuliko ya Waafrika? SHAME ON US AFRICAN
Scenario ya sudan ya kusini ni tofauti kabisa na hili la ufaransa kumbuka la ufaransa ni ugaidi ya sudan ya kusini ni vita ya wenyewe!
 
Sudan kusin ni vita vya waafrika wenyewe kwa wenyewe ila hili la ufaransa ni ugaidi ambao unaweza kutokea hata Tz, kumbuka ugaid ni mtandao kila kona Upo haujali mzungu au mwafrika, Sudan hawajaanza kipigana leo ivo bado kuna ulazima wa kulaani shambulio la nice, France
 
Acha ujinga wewe hao waliokufa Sudan sio binadamu sio? Kifo ni kifo tu kiwa cha kigaidi au cha vita vyote ni vifo
Sasa ulianzisha uzi kuhusu hilo, acha kulalamika wewe unafikiri kuna watu wapo kwa ajili ya kukuanzishia uzi kisha ucomment tu? Wewe ndiye ambaye hukuwajibika ipasavyo kutujuza humu, sio umbeze mwenzako kwa kuanzisha uzi wa ufaransa.
 
Waafrika sisi ni wajinga sana. Juzi kuna ndugu zetu waafrika zaidi ya 150 wameuwawa kwenye mapigano Sudan hakuna mtu aliesikitika...leo kwa sababu wamekufa WAZUNGU tunajifanya tunasikitika...ina maana maisha ya wazungu ni bora kuliko ya Waafrika? SHAME ON US AFRICAN
Nani kakuambia waliokufa ufaransa ni wazungu peke yao???? shame on you akili ndogo.
 
Waafrika sisi ni wajinga sana. Juzi kuna ndugu zetu waafrika zaidi ya 150 wameuwawa kwenye mapigano Sudan hakuna mtu aliesikitika...leo kwa sababu wamekufa WAZUNGU tunajifanya tunasikitika...ina maana maisha ya wazungu ni bora kuliko ya Waafrika? SHAME ON US AFRICAN

Mkuu,

Utumwa mbaya kuliko wote ni ule wa mawazo. Huu unahusiana na umasikini wa fikra na mali.
 
Waafrika sisi ni wajinga sana. Juzi kuna ndugu zetu waafrika zaidi ya 150 wameuwawa kwenye mapigano Sudan hakuna mtu aliesikitika...leo kwa sababu wamekufa WAZUNGU tunajifanya tunasikitika...ina maana maisha ya wazungu ni bora kuliko ya Waafrika? SHAME ON US AFRICAN
Una uhakika? mbona mitandao mingi sana ililaani mauaji hayo tena mtu mmoja akachangia kuwa ili kukomesha mauaji sudan kusini rais na makamu wake waondolewe madarakani waje watu wapya wa kuwaunganisha wasudani kusini wewe ulikuwa kwenye kitwanga i guess!
 
Ndio Osokoni, vita vya Sudan vinahamasishwa na makundi ya pande 2 yaaan kir na machar, kama wao wanajali maisha ya watu yanayopotea wangeshajiuzulu nyazifa zao ili kuruhusu uongoz upya nchi itulie. Mbona wenzetu wazungu wanaweza kuwajibika inapotokea mambo hayaendi sawa kwa ajili yake?? Mbona Cameroon alivoona kura upande wake zimegoma alitangaza kujiuzulu japo wabunge 84 wa conservative walimwandikia waraka wakimsihi aendelee?? Ni uchu wa madaraka tu unaotuangamiza Africa
 
Back
Top Bottom