Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Magufuli
 

Attachments

  • 1445505839749.jpg
    1445505839749.jpg
    31.8 KB · Views: 104
Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
 
Kwa msimamo wake, na ameshaahidi kila mkutano kuwa ataifumua serikali na kuwabana mawaziri na watendaji wengine wote ili kuhakikisha utendaji makini


Usimamizi mkali anauweza na anajua ni kiu ya watanzania wengi
 
ni serikali yenye uadilifu
serikali ya kushughulikia mafisadi
serikali ya waru makini
serikali yenye huduma bora za kijamii
serikali yenye speed kubwa ya kuwatumikia wananchi
 
Ratiba ya magufuli katika kuijenga nchi mpya tanzania anaanza kama ifuatavyo: -

1. Kuwafungulia kesi za uhujumu uchumi mafisadi wote bila kujali nafasi walizowahi kutumikia serikalini

2. Kufufua viwanda vyote vilivyokufa na mashirika ya umma yaliyobinafisishwa na hayafanyi kazi vyema, kuyaunda upya na kupiga kazi.

4. Wakulima kupewa matrekta kwa vikundi vitakavyosajiliwa. Pia kupewa pembejeo za kilimo na kutafutiwa na kupata uhakika wa masoko yao - hakuna kukopwa mtu.

5. Wafanyakazi kuongezewa mishahara.

6. Kuboreshwa kwa shule zote za zamani na mpya kupewa madawati, vitendea kazi, nyumba za walimu na kujengewa miundombinu bora.

7. Hospital zetu kuboreshwa na kuhakikisha madawa yanapatikana, vitanda vya kutosha kwa wagonjwa na wahudumu wa afya kuwa na maslahi bora.

8. Askari kuboreshewa miundombinu yao ya kazi, mishahara na nyumba.

9. Kuboresha maslahi ya wavuvi na wafugaji ikiwemo dhana bora za kutendea kazi.

10. Kuboresha maisha ya wachimba madini wadogowadogo kwa kuwapa mitaji na masoko.

11. Na menineyo mengi kuboreshwa.
 
Back
Top Bottom