Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Magufuli ameapa kuwa mara baada ya kuapishwa atarudisha ranchi za taifa zilizoporwa na Lowassa pamoja na Sumaye zitakuwa mali ya serikali kwa kuwa zilichukuliwa kifisadi bila kufata utaratibu ,sheria pamoja na kanuni.

Kama kweli yuko serious , tunaomba aache mambo ya visasi kwa kulenga wale walioshindana nae ktk uchaguzi bali awe general.

Kuna vitu vingi tu vilivyo milikishwa kinyemela, fano mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwila pamoja na nyumba za Serikali zilizouzwa.
 
Magufuli ameapa kuwa mara baada ya kuapishwa atarudisha ranchi za taifa zilizoporwa na Lowassa pamoja na Sumaye zitakuwa mali ya serikali kwa kuwa zilichukuliwa kifisadi bila kufata utaratibu ,sheria pamoja na kanuni.

Huo urais simpaka aupate
 
Mgombea urais wa Ccm John Pombe Magufuli ameapa kuwa mara baada ya kushika madara ya urais atahakikisha kuwa uchumi wetu kupaaa
 
alizota kwa vimada na ndugu zake

Twiga wetu atawarudisha pia? Na gesi aliyodai wachina wamepewa bure kwa miaka Saba atairudisha? Au anadhamiria tu na kuongelea jambo ambalo amedanganywa na kuaminishwa kuwa linamgusa Lowassa? Ndiyo maana anadai Yeye ndiye kinara wa kupambana na mafisadi ilhali katika miaka yake yote 20 akiwa mbunge na waziri hakuwahi kutamka neno "fisadi" hata mara moja!

Na ikitokea akashinda nafasi hiyo ajue kuwa maneno anayoropoka kama ahadi za mihemko yatamkwamisha. Kikwete aliahidi hivyo hivyo na sasa kaishia kusikojulikana.

CCM out!
 
Skia hapa
 
Attachments

  • 1445501544606.jpg
    1445501544606.jpg
    20.5 KB · Views: 109
Arudishe pia na mamilioni ya fidia za makandarasi hewa na wale waliocheleweshewa malipo pamoja na fidia ya meli ya uvuvi ya wachina!!Nyumba 8288 alizogawa kama peremende wananchi tutazichukua kwa nguvu!!
 
Twiga wetu atawarudisha pia? Na gesi aliyodai wachina wamepewa bure kwa miaka Saba atairudisha? Au anadhamiria tu na kuongelea jambo ambalo amedanganywa na kuaminishwa kuwa linamgusa Lowassa? Ndiyo maana anadai Yeye ndiye kinara wa kupambana na mafisadi ilhali katika miaka yake yote 20 akiwa mbunge na waziri hakuwahi kutamka neno "fisadi" hata mara moja!

Na ikitokea akashinda nafasi hiyo ajue kuwa maneno anayoropoka kama ahadi za mihemko yatamkwamisha. Kikwete aliahidi hivyo hivyo na sasa kaishia kusikojulikana.

CCM out!

Safi sana

wapeni za uso hapa hapa kwenye mada zao
 
atarudisha kila kitu,wew mpe kura yako tu hicho ndicho cha msingi.hapa kaz tuu.hyo ndo tinga tinga hana mchezo.akisema hapa kaz tuu anamaanisha
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom