Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

12032188_1712458638987030_6935568481845650440_n.jpg


CCM ndio chama pekee Tanzania kinacho jali maslahi ya Wasanii na kutunza Sanaa. Ndio maanaWasanii wengi wanaikampenia CCM. CCM ni Chama cha Watanzania wote na wala sio UKANDA.

12107226_904436022981885_5107909713920258594_n.jpg
 
We Jamaa utafikiri unamtindio wa Ubungo ,,,, inabidi ufungiwe u r just useless fellow



12032188_1712458638987030_6935568481845650440_n.jpg


CCM ndio chama pekee Tanzania kinacho jali maslahi ya Wasanii na kutunza Sanaa. Ndio maanaWasanii wengi wanaikampenia CCM. CCM ni Chama cha Watanzania wote na wala sio UKANDA.

12107226_904436022981885_5107909713920258594_n.jpg
[/QUOTE]
 
12032188_1712458638987030_6935568481845650440_n.jpg


CCM ndio chama pekee Tanzania kinacho jali maslahi ya Wasanii na kutunza Sanaa. Ndio maanaWasanii wengi wanaikampenia CCM. CCM ni Chama cha Watanzania wote na wala sio UKANDA.

12107226_904436022981885_5107909713920258594_n.jpg

Chin unaangaika kama kuku anaetaka kutaga au demu anayetaka kupigwa cha chapuchapu.
 
Katika kipindi cha utekelezaji wa Ilani hii ya 2015–2020, Chama Cha
Mapinduzi kitaielekeza Serikali kuweka nguvu kubwa katika kukamilisha
utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Endelevu ya Viwanda Awamu ya Tatu
(2010–2020) ambayo malengo yake ni kuiwezesha Sekta ya Viwanda
kuchangia katika kufikia malengo ya maendeleo ya muda mrefu kama
ilivyoanishwa katika Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025. Aidha, Utekelezaji
wa Ilani hii utakuwa ni sehemu ya Utekelezaji wa Mpango wa Pili wa
Maendeleo wa Miaka Mitano (2015/16-2020/21) ambao lengo lake ni
kuendeleza uchumi wa viwanda.
Katika kipindi hicho, utaanza ujenzi wa viwanda mama (basic industries)
na kuimarisha viwanda vilivyopo lengo likiwa ni kuhakikisha kwamba:-
(a) Mchango wa Sekta ya Viwanda katika Pato la Taifa unaongezeka kutoka
asilimia 9.9 mwaka 2013 hadi asilimia 15 ifikapo mwaka 2020;
(b) Sekta ya Viwanda inaongeza ajira kufikia asilimia 40 ya ajira zote ifikapo 2020
kwa kuweka kipaumbele cha kujenga viwanda vinavyotumia malighafi
zinazozalishwa hapa nchini kama vile kilimo, mifugo, uvuvi na maliasili;
Viwanda hivyo ni pamoja na viwanda vya nguo, sabuni, korosho, matunda n.k.
(c) Kuandaa mikakati thabiti ya kuhamasisha sekta binafsi kuanzisha viwanda
vikubwa na vya kati na kuweka utaratibu wa kuvilinda dhidi ya viwanda vya
nje;
(d) Kujenga mazingira rafiki yatakayowezesha kupunguza gharama za uwekezaji
na uendeshaji wa viwanda;
26
(e) Kuanzisha viwanda vya msingi vinavyotumia malighafi ya chuma katika maeneo
ya Liganga na Mchuchuma;
(f) Sekta ya Viwanda inaongeza fursa za masoko hususan yenye upendeleo wa
ushuru wa forodha kama Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumuiya ya Maendeleo
ya Kusini mwa Afrika, Utatu wa COMESA-EAC-SADC na Umoja wa Ulaya, nchi
rafiki kama India, China, Japan na Marekani; na
(g) Kuendeleza kasi ya ujenzi wa viwanda vidogo na vya kati hasa vinavyosindika
mazao.
(h) Kuhakikisha Benki ya Rasilimali (TIB) inapanua wigo wa Dirisha Maalumu ili liweze kutoa huduma zake kwenye maeneo yote nchini ikiwemo Tanzania
Zanzibar.
​
 
sijaona mkakati wowote hapo zaidi ya kuandika porojo na ndoto.
huwezi ukasema utaleta viwanda bila
1.Apropriate tax reform
2.Bila umeme
3.Bila miundombinu hasa reli ya kisasa
4.Bila elimu(hasa kubadili mitaala)
5.Bila udhibiti wa ukweli wa rushwa
6.Bila kuwa na tabia ya kuthamini wasomi wa tanzania
Bila kueleza vilivyokufa nani aliviua, na kwanini vilikufa
CCM muacha tabia yakudharau watanzania, kwa hii CCM ya kina nape, makamba, wema sepetu, ray kigosi na watukana matusi wengine kuna mtu mwenye utayari wa kusolve hayo matatizo( hata hilo la umeme tu?!) . Acheni kuona watanzania wajinga bana.
 
Mkuu sio hilo tu mkakati wao siku zote baada yaNyerere ni kuua na kugawa Bure viwanda hiyo about turn wamefanya link au kwa vile maji ya shingo?
 
...ni ujuha Wa kiwango cha juu sana kwa ccm kuja na Sera ya viwanda kama hii, kihistoria inaonyesha ccm hawajui wanafanya nini zaidi ya kudanganya wananchi tu....
 
Back
Top Bottom