Uchambuzi: Ugeni wa Gwajima na Makonda kwa Kardinali Pengo katika Ulimwengu wa kiroho unamaanisha tofauti kabisa na malengo yao

Kama ni mfuatiliaji wa mambo utajua waziwazi kwamba Pengo na Makonda ndo walikuwa wamemkosea Gwajima. Gwajima alisimama kutetea haki wakati ambapo kila mtu alikuwa kimya.

Sasa kwa sababu ya mtazamo wa wengi, hawaoni kama Pengo na Makonda walikosea. Kwa sababu Gwajima ana hekima sana, ameona tu afanye upatanisho. Sioni kama kuna shida. Ni jambo jema kwa wote; kuyaacha yaliyopita yapite na kuangalia mbele.
 
Hii Paragraph ya mwisho kupata tafsiri inabidi mshana jr ahusike.

Naungana na wewe kuwa Gwajima alipaswa aombe msamaha kwa kupitia kanisani kwake kisha ndio aende kwa Askofu.
Kwani Nani alikuambia Gwajima ameenda kuomba msamaha? Mbona mnajitafutiaga captions ambazo hazipo nyie
 
kipindi hicho alikuwa bado hajajiunga na kile kitengo Cha UVUMILIVU!
ambako rasmi alijiunga baada ya Ile video !
Umekaa hapo kwa shemeji yako unaandika utumbo hivi unajua mazungumzo yaliyokuwepo hapo? Umekazana tu kuomba msamaha Mara Mambo ya rohoni unajua Mambo ya rohoni yanatambuliwaje? Hebu acha kujipigisha nyeto huku umeshika pilipili
 
Walienda kupiga magoti
msamaha ni kutoka moyoni sio kutangazia umma sasa wakisema waanze kuomba msamaha unatengeneza malumbano yahoja tuu na Gwajima wala Makonda hawana makosa wao sio wajinga waanze tuu kumtoleaa Pengo maneno hayo kama yeye hana makosa wao wamefanya tuu kumsaidia Pengo angalau ajisikie kasamehewa na si kwamba wao ndio wameenda kuomba msamaha
Jaribu kuona picha kama kusoma hujui
 
Nitaeleza kwa kifupi sana. Maelezo ukiona ni marefu basi soma Paragraph ya Mwisho!

Ugeni uliofanyika kwa aliyekuwa askofu wa Jimbo kuu la DSM Kard. Pengo unatoa taarifa nzito kabisa katika Ulimwengu wa kiroho tofauti na malengo ya Gwajima na Makonda yalivyo.

Ugeni huo uliojumuisha watu wawili waliofitinika (Gwajima na Makonda) una mitazamo mingi sana machoni pa watu!

Kufitinika huko kunatokana na uhusiano wao kabla ya kwenda kwa Pengo!

ITAKUMBUKWA!

MOSI;
Mgeni (Gwajima) aliwahi kuuutangazia umma na Dunia nzima kwamba Kard. Pengo hafai na si lolote (yaani kiufupi Gwajima alidhamiria kuiharibu image ya Ask. Pengo iliyojengwa na kanisa Katoliki kwa miaka 74. Siyo Pengo pekee, bali hata aliyumbisha pia imani za baadhi ya Wakatoliki)

Hivyo, ashukuliwe sana mzee Kard. Pengo kwa busara zake za Phd alipoamua kutomjibu Gwajima kwa Wakati huo.

Yamkini Pengo mbali na utumishi wa kiroho labda huenda alikuwa Senior kitengo CHA UVUMILIVU ambako Gwajima kwa wakati huo alikuwa bado hajawa Recruited kama ilivyo Sasa! Kwahiyo hakujua chochote!

Mgeni wa pili Makonda ambaye kwa Wakati huo akiwa kiongozi lakini pia Ni mdau kitengo cha UVUMILIVU!
alivyotofautiana na Gwajima, tulitangaziwa umma na Dunia kwamba Gwajima kamfuta Makonda machoni pa watu!

KILICHOTOKEA
Kiutaratibu ngazi unayoitumia kupanda juu ndiyo hufaa kukushusha, pia kamba inayotumika kushushia ndiyo hufaa kupandishia!

Tofauti na utaratibu huo, Makonda na Gwajima wameitana kimya kimya kwenda kumlaki Baba kard.Mzee Pengo kwa lengo la kisiasa!

Inawezekana imekuwa rahisi kwao kufanya hivyo kwasasa baada ya Gwajima kusajiliwa rasmi kitengo cha UVUMILIVU ambako kakuta aliowatukana tayari ni wanachama kitambo!

MALENGO YA MAKONDA NA GWAJIMA
Kwa mawazo yao waliona wakifanya hivyo itawajenga kisiasa kwamba walivyogombana, sasa wamepatana! hivyo iwe rahisi kutrap kura nyingi za Wakristo Wakatoliki kisiasa.

Yamkini Gwajima kwa upande mwingine alienda kutubu kwa Pengo pekee lakini kasahau kuhusu wafuasi wa Pengo waliovunjwa Moyo na kauli yake pale madhabahuni!

Hivyo Gwajima alistahili kutumia jukwaa lile lile (madhabahu yake) kuomba msamaha wafuasi wa Pengo na Pengo!

Huenda walitaka pia mkono wa Pengo utumike kuwapatanisha kisiasa. Kitaalam tunaita BLESSING REALLOCATION!

Lakini kabla ya kufanyiwa Blessings Reallocate MAKONDA na GWAJIMA walitakiwa watumie majukwaa (media) kuutangazia umma kwamba maneno dhidi yao waliyowahi kutoleana sasa hayana mashiko dunia nzima ikaelewa then ndipo waende kwa Pengo kupatanishwa!

Kwahiyo walichokifanya Gwajima na Makonda (NI SUFURI), imekuwa ni sawa na waliokwenda kufanya kikao cha mkakati wa kisiasa tu!

KILICHOFANYIKA AMBACHO HAWAKIJUI HATA WAO KIROHO NI VILE WAMETOA MKONO WA BURIANI
Ukitafsiri kuanzia mpangilio wa mavazi, positioning ukaaji, na uagaji wakiwa na Pengo Mwenyewe vyote wanavyovifanya pale siyo kwa akili yao!

Angalieni Ile video mtaona vyema, walivyoketi, uvaaji, usimamaji wa Makonda, na uagaji wa Gwajima halafu Makonda akabaki kuteta na Pengo. Ni dhahiri kilichowapeleka sicho kilichotendeka KIROHO!

Itoshe kusema walichokifanya ni kupeana mkono Buriani!

HAKIKA MAHUSIANO YA KIBINADAM NI SAWA NA TAULO, KIPANDE ULIPOFUTIA TAKO LEO KESHO USIPOKUWA MAKINI NDICHO KITAFUTA USONI!
check video
Upuuzi mtupu kuhusisha wazinzi wawili waliokutana kwa cadinali na maswala ya kiroho! Hovyo kabisa umejiropokea tu kwakuwa unabando
 
Gwajima anapaswa kuwaomba wakatoliki wote msamaha hadharani la sivyo hatumsamehi. Ametutukana sana.
 
msamaha ni kutoka moyoni sio kutangazia umma sasa wakisema waanze kuomba msamaha unatengeneza malumbano yahoja tuu na Gwajima wala Makonda hawana makosa wao sio wajinga waanze tuu kumtoleaa Pengo maneno hayo kama yeye hana makosa wao wamefanya tuu kumsaidia Pengo angalau ajisikie kasamehewa na si kwamba wao ndio wameenda kuomba msamaha
Jaribu kuona picha kama kusoma hujui
Upuuzi.
 
Nitaeleza kwa kifupi sana. Maelezo ukiona ni marefu basi soma Paragraph ya Mwisho!

Ugeni uliofanyika kwa aliyekuwa askofu wa Jimbo kuu la DSM Kard. Pengo unatoa taarifa nzito kabisa katika Ulimwengu wa kiroho tofauti na malengo ya Gwajima na Makonda yalivyo.

Ugeni huo uliojumuisha watu wawili waliofitinika (Gwajima na Makonda) una mitazamo mingi sana machoni pa watu!

Kufitinika huko kunatokana na uhusiano wao kabla ya kwenda kwa Pengo!

ITAKUMBUKWA!

MOSI;
Mgeni (Gwajima) aliwahi kuuutangazia umma na Dunia nzima kwamba Kard. Pengo hafai na si lolote (yaani kiufupi Gwajima alidhamiria kuiharibu image ya Ask. Pengo iliyojengwa na kanisa Katoliki kwa miaka 74. Siyo Pengo pekee, bali hata aliyumbisha pia imani za baadhi ya Wakatoliki)

Hivyo, ashukuliwe sana mzee Kard. Pengo kwa busara zake za Phd alipoamua kutomjibu Gwajima kwa Wakati huo.

Yamkini Pengo mbali na utumishi wa kiroho labda huenda alikuwa Senior kitengo CHA UVUMILIVU ambako Gwajima kwa wakati huo alikuwa bado hajawa Recruited kama ilivyo Sasa! Kwahiyo hakujua chochote!

Mgeni wa pili Makonda ambaye kwa Wakati huo akiwa kiongozi lakini pia Ni mdau kitengo cha UVUMILIVU!
alivyotofautiana na Gwajima, tulitangaziwa umma na Dunia kwamba Gwajima kamfuta Makonda machoni pa watu!

KILICHOTOKEA
Kiutaratibu ngazi unayoitumia kupanda juu ndiyo hufaa kukushusha, pia kamba inayotumika kushushia ndiyo hufaa kupandishia!

Tofauti na utaratibu huo, Makonda na Gwajima wameitana kimya kimya kwenda kumlaki Baba kard.Mzee Pengo kwa lengo la kisiasa!

Inawezekana imekuwa rahisi kwao kufanya hivyo kwasasa baada ya Gwajima kusajiliwa rasmi kitengo cha UVUMILIVU ambako kakuta aliowatukana tayari ni wanachama kitambo!

MALENGO YA MAKONDA NA GWAJIMA
Kwa mawazo yao waliona wakifanya hivyo itawajenga kisiasa kwamba walivyogombana, sasa wamepatana! hivyo iwe rahisi kutrap kura nyingi za Wakristo Wakatoliki kisiasa.

Yamkini Gwajima kwa upande mwingine alienda kutubu kwa Pengo pekee lakini kasahau kuhusu wafuasi wa Pengo waliovunjwa Moyo na kauli yake pale madhabahuni!

Hivyo Gwajima alistahili kutumia jukwaa lile lile (madhabahu yake) kuomba msamaha wafuasi wa Pengo na Pengo!

Huenda walitaka pia mkono wa Pengo utumike kuwapatanisha kisiasa. Kitaalam tunaita BLESSING REALLOCATION!

Lakini kabla ya kufanyiwa Blessings Reallocate MAKONDA na GWAJIMA walitakiwa watumie majukwaa (media) kuutangazia umma kwamba maneno dhidi yao waliyowahi kutoleana sasa hayana mashiko dunia nzima ikaelewa then ndipo waende kwa Pengo kupatanishwa!

Kwahiyo walichokifanya Gwajima na Makonda (NI SUFURI), imekuwa ni sawa na waliokwenda kufanya kikao cha mkakati wa kisiasa tu!

KILICHOFANYIKA AMBACHO HAWAKIJUI HATA WAO KIROHO NI VILE WAMETOA MKONO WA BURIANI
Ukitafsiri kuanzia mpangilio wa mavazi, positioning ukaaji, na uagaji wakiwa na Pengo Mwenyewe vyote wanavyovifanya pale siyo kwa akili yao!

Angalieni Ile video mtaona vyema, walivyoketi, uvaaji, usimamaji wa Makonda, na uagaji wa Gwajima halafu Makonda akabaki kuteta na Pengo. Ni dhahiri kilichowapeleka sicho kilichotendeka KIROHO!

Itoshe kusema walichokifanya ni kupeana mkono Buriani!

HAKIKA MAHUSIANO YA KIBINADAM NI SAWA NA TAULO, KIPANDE ULIPOFUTIA TAKO LEO KESHO USIPOKUWA MAKINI NDICHO KITAFUTA USONI!
check video
Hao ni majambazi wa kisiasa bhana ndio hao aliosema Pole Pole kuwa ni majambaz wa kisiasa
 
Hongera Gwajima kutafuata amani na watu wote ndiyo jambo la muhimu.
 
Tangu mwanzoni, wote watatu walijulikana kutumiwa vibaya na wanasiasa (ccm), sinema bado inaendelea, wote ni wasanii.
 
Kawe sio wajinga Hadi qamchague kiongozi mwenye kutokana dini za watu ilhali kiongozi anapaswa kuwa kumunganishaji badala ya mbaguzi.. sisi waislamu wa kawe hatutamchagua gwajima na nadhani wakatoliki nao watafanya hivyo hivyo.

Kura zote wlkwa halima mdee ambaye anaheshimu dini zote.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom