Then 2025 tume ya uchaguzi itakuwa yako? Afeli asifeli 2025 anashinda asubuhi saa nne.You know tunataka maendeleo, kama rais atakuwa haleti matokeo mazuri ya ukuaji wa uchumi wa Tz, basi kiuhalisia kazi itakuwa imemshinda na sioni sababu ya kujipanga kuendelea mwaka 2025, yeye awe focus na kuleta maendeleo, sisi wananchi tutamjudge kama anafaa kuendelea au hafai, ila mpaka sasa maneno ni mengi kuliko vitendo na hii inakatisha sana tamaa
CCM hata isipofanya uchaguzi inashinda tu