Elections 2015 Uchambuzi niliowahi kuufanya juu ya John Pombe Magufuli - Mtatiro

Umofia kwenu wana JF,
Mh Pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha
viwanja nane vya Mbweni Beach JKT na kujenga ghorofa
katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba
ndogo.
Huyu Pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa
nane(kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously
kuanzia mwanzo mpaka mwisho?
Tumekabidhi wizara kafanya haya ,Je akipewa urais si
itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa hafai
kuongoza nchi hii.
Mkuu upo?
 
Back
Top Bottom