Uchambuzi: Naamini Tundu Lissu si Mwafaka Kugombea Urais 2020 (2)

Lissu ndio kiboko na saizi ya Jiwe naona mnaweweseka sana ,tulieni huyu hamtaiba kura halafu anyamaze kama kondoo wenu aliyerudi zizini huyu atazidai kura zake kwa gharama yoyote ile .
 
Kwani wamesema wao? Tofautisha kelele na kauli. Vyama vyetu vyote kelelele tu.
"Wameshindwa kusimamia vitu vingi", mfano wa hivyo vitu ni vipi?

Je, ni matibabu ya majeraha ya risasi ya Tundu Lissu kupigwa na watesi wake ukiwemo wewe?

Je, ni ujenzi wa mradi wa umeme wa Stiglers Gorge?

Je, ni ununuzi wa Koro - Show kwa kuliamurisha JWTZ??

Kipi walichosimamia na kushindwa?... Maana I doubt, isije ukawa unaandika kwa kusukumwa na hisia tu za kipropaganda ambazo kiuhalisia siyo realistic...!!
 
Back
Top Bottom