Uchambuzi mfupi kuhusu serikali kupanga viwango vya fedha ya ndani dhidi ya fedha za kigeni

Abdul Nondo maliza kwanza degree yako ya kwanza!! Concentrate on one thing at a time that is a main principle of success kama unataka kufaulu popote kimaisha ,kimasomo kibiashara nk .Mshika mawili moja humpokonyoka..Ushajipa utaalamu wa fedha wakati hata hicho kifigrii hujamaliza!!!!!!!
Umekuja na makelele yako kama mpiga debe wa kariakoo, kwa nini huwa hamna ustaarabu nyinyi?
 
Nchi hii sasa inaendeshwa kwa hisia. Hata maswala ya uchumi tunategemea hisia tu
 
Maelezo hafifu sana, huyu mleta uzi hata ukimpa mtihani wa commerce wa form three atafeli,

ngoja nimsaidie kidogo Page na Fixed exchange ni mifumo tofauti yeye kajumlisha kana kwamba ni kitu kilekile,
 
ngoja nimsaidie kidogo Page na Fixed exchange ni mifumo tofauti yeye kajumlisha kana kwamba ni kitu kilekile,
What is wrong with you nyie matakataka ya Lumumba? Nimesoma mada kama ilivyotolewa na kijana Abdul Nondo na sijaona huo mfumo wa page exchange unaouongelea na kama kawaida yenu inawezekana kabisa kwa hili umetoka kapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom